01/09/2025
🗓️ Karibu Septemba!
Tunawatakia wateja wetu mwezi mpya wenye mafanikio tele. Katika mwezi huu wa Septemba, SR Radiators tunakuletetea huduma bora zifuatazo:
🚗 Usafiri bure
🛠️ Udhamini wa mwaka mzima
🔍 Ukaguzi wa gari bure
Tunakuhakikishia huduma za kitaalamu na vifaa vya hali ya juu kwa ajili ya gari lako. Usikose kututembelea au kutupigia simu kwa mahitaji yako ya radiator na huduma nyingine za magari.
📞 0715 821 115 | 0754 821 115
📍 Buguruni rozana opp Tax driver