Simusolar Tanzania

Simusolar Tanzania Improve Incomes Through Increasing Productivity Via Clean Energy Solutions for Agribusinesses

Msimu wa ofa bado unaendelea!Bado unayo nafasi ya kunufaika na ofa zetu maalumu ✅ Pampu ya Kilimo Kwanza kwa TZS 1,000,0...
11/08/2026

Msimu wa ofa bado unaendelea!

Bado unayo nafasi ya kunufaika na ofa zetu maalumu

✅ Pampu ya Kilimo Kwanza kwa TZS 1,000,000

✅ Punguzo la hadi 15% kwa pampu kubwa

✅ Hadi 20% punguzo kwa wateja wetu wa mkopo

✅ Hadi 45% punguzo kwenye mashine za kuchakata mazao

Usikose fursa hii!

Wasiliana nasi leo upate maelezo zaidi na uchague suluhisho linalokufaa.

+255 754 585 067

Happy Nane Nane Day!Bado tupo Nane Nane na bado kuna muda wa kunufaika na ofa zetu maalum!📍 Tupo Dodoma, Arusha, Mbeya, ...
08/08/2026

Happy Nane Nane Day!

Bado tupo Nane Nane na bado kuna muda wa kunufaika na ofa zetu maalum!

📍 Tupo Dodoma, Arusha, Mbeya, Mwanza, Morogoro & Tabora.

Heri ya Siku ya Nane Nane!Leo tunasherehekea wakulima, wafugaji na wadau wote wanaochangia ukuaji wa sekta ya kilimo. Ba...
08/08/2026

Heri ya Siku ya Nane Nane!

Leo tunasherehekea wakulima, wafugaji na wadau wote wanaochangia ukuaji wa sekta ya kilimo.

Bado tupo kwenye viwanja vya Nane Nane katika Dodoma, Arusha, Mbeya, Mwanza, Morogoro na Tabora na bado una nafasi ya kunufaika na ofa maalum za Nane Nane! 🔥

📍 Usikose! Tufikie kwenye banda letu na upate ofa yako.


AgricultureTanzania

Bado tunaendelea na Maonesho ya Nane Nane 2026!Simusolar tunaendelea kuwafikia wakulima na wadau wa kilimo kupitia Maone...
07/08/2026

Bado tunaendelea na Maonesho ya Nane Nane 2026!

Simusolar tunaendelea kuwafikia wakulima na wadau wa kilimo kupitia Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea katika mikoa ya Dodoma, Arusha, Mbeya, Mwanza, Morogoro na Tabora

Karibu kwenye banda letu lililo karibu nawe. Timu yetu ipo tayari kukuhudumia na kukushauri kupata suluhisho sahihi kwa mahitaji yako ya kilimo.

Tanzania

📍 Usikose kututembelea banda la Simusolar katika Maonesho ya Nanenane Mbeya.Timu yetu ipo tayari kukupokea, kukushauri k...
06/08/2026

📍 Usikose kututembelea banda la Simusolar katika Maonesho ya Nanenane Mbeya.

Timu yetu ipo tayari kukupokea, kukushauri kuhusu suluhisho zinazokufaa, na kukupatia ofa maalum za Nanenane.

Karibu sana!

06/08/2026

Karibu utembelee banda letu katika Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere, Manispaa ya Morogoro.

Njoo ujionee suluhisho zetu za kisasa zinazosaidia kuongeza tija katika kilimo na ufugaji, zikiwemo:

Mifumo ya Pampu za Maji za sola
Mashine za sola za Kuchakata Mazao

Pia, usikose ofa maalum za Nanenane, zikiwemo:

✅ Pampu ya Kilimo Kwanza kwa TZS 1,000,000

✅ Punguzo la hadi 15% kwa pampu kubwa

✅ Hadi 20% punguzo kwa wateja wetu wa mkopo

✅ Hadi 45% punguzo kwenye mashine za kuchakata

Karibu banda la Simusolar ,tuzungumze kuhusu suluhisho sahihi kwa kilimo na biashara yako.

NishatiYaJua AgriProcessing KilimoKwanza

OFA MAALUM YA NANENANE !Je, unataka kuongeza thamani ya mazao yako au kutengeneza chakula bora cha mifugo kwa ufanisi za...
05/08/2026

OFA MAALUM YA NANENANE !

Je, unataka kuongeza thamani ya mazao yako au kutengeneza chakula bora cha mifugo kwa ufanisi zaidi?

Mashine zetu za kuchakata mazao ni suluhisho sahihi kwa wakulima na wajasiriamali wa kilimo wanaotaka kuongeza uzalishaji, kupunguza gharama, na kukuza kipato.

🔥 Kwa kipindi hiki cha Nanenane utapata punguzo maalum kwa mashine zetu zote za kuchakata mazao.

💰 utapata Punguzo la 45% kwa wateja watakao nunua kwa fedha taslimu.
Na Punguzo la 40% kwa wateja wakaonunua kwa mfumo wa mkopo

Usikose nafasi hii ya kumiliki mashine bora kwa gharama nafuu!

📍 Tembelea banda letu katika Maonesho ya Nanenane yaliyopo karibu nawe, ujionee mashine zikifanya kazi na upate ushauri kutoka kwa wataalamu wetu.

Nanenane hii, ongeza thamani ya mazao yako na uwekeze kwenye teknolojia itakayokuza biashara yako!

Simusolar tunaendelea kushiriki kikamilifu katika Maonesho ya Nanenane 2026 kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ya kili...
04/08/2026

Simusolar tunaendelea kushiriki kikamilifu katika Maonesho ya Nanenane 2026 kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ya kilimo ili kuwafikia wakulima wengi zaidi.

Tumefurahi kumpokea Mhe. Nurdin Babu, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro aliyetembelea banda la mshirika wetu TAHA Tanzania katika Maonesho ya Nanenane mkoani Arusha, ambapo Simusolar pia tunatoa elimu na kuonesha suluhisho zetu za nishati ya jua kwa kilimo.

Photo credit: TAHA Tanzania

KilimoBora

Tunaamini kuwa ushirikiano na wadau ni nguzo muhimu katika kuwafikia wakulima wengi zaidi na kuharakisha matumizi ya teknolojia zinazoongeza tija na kuboresha maisha yao.

Photo Credits: TAHA Tanzania

KilimoBora

Hii ni sehemu ya maonesho ya moja kwa moja ya yanayoendelea katika banda letu la Nanenane mkoani Mbeya

Wageni wanaotutembelea wanapata fursa ya kujionea jinsi pampu hii inavyofanya kazi na jinsi inavyoweza kusaidia umwagiliaji wenye ufanisi, kuongeza tija shambani na kupunguza gharama za uzalishaji.

📍Ukiwa Nanenane Mbeya, usikose kutembelea banda letu. Timu yetu ipo tayari kukushauri na kukusaidia kupata suluhisho linalokufaa.

Umwagiliaji NishatiYaJua

03/08/2026
OFA MAALUM!Je, unahitaji mfumo wa umwagiliaji  wa uhakika na kwa gharama nafuu ? Jipatie Pampu ya Kilimo Kwanza Kwa ghar...
01/08/2026

OFA MAALUM!

Je, unahitaji mfumo wa umwagiliaji wa uhakika na kwa gharama nafuu ?

Jipatie Pampu ya Kilimo Kwanza Kwa gharama nafuu zaidi msimu huu wa Nane Nane .

Bei ya kawaida: TZS 1,308,000
Bei ya Ofa: TZS 1,000,000

✅ Inafaa kwa mashamba ya hadi ekari 2.
✅ Inatumika kwenye mito na maziwa.
✅ Suluhisho la uhakika la umwagiliaji kwa wakulima wadogo

Ofa ni kuanzia tarehe 30 Julai hadi 10 Agosti 2026.

📍 Tembelea banda la Simusolar katika maonesho ya Nane Nane kwenye mikoa ya
|Arusha| Morogoro |Dodoma| Mwanza |Mbeya| Tabora ujionee mifumo yetu na unufaike na ofa hii ya kipekee.

Address

9 Eyasi Road, Mikocheni B
Dar Es Salaam
14112

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:30
Tuesday 08:30 - 17:30
Wednesday 08:30 - 17:30
Thursday 08:30 - 17:30
Friday 08:30 - 17:30

Telephone

+255677028680

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simusolar Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Simusolar Tanzania:

Shortcuts

Share