Nelo construction company

Call Directions Website Contact the business

Nelo construction company Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nelo construction company, Construction Company, P. o. box 308, mbezi, Dar es Salaam.

1.TUNACHORA RAMANI NA KUANDAA BOQ
2.TUNAJENGA MIKOA YOTE(0745063424)
3.OFISI ZETU ZINAPATIKANA MBEZI-DAR ES SALAAM NA ILAZO-DODOMA www.neloconstruction.co.tz

10/11/2026

CURING INAITAJI MAJI ZAIDI YA BINADAMU ILI REACTION IENDELEEE

10/11/2026

JE NA WEWE WAJUA?

10/11/2026

JE WAJUA???

MTAG FUNDI RANGI TUMPE KAZI ….kuanzia tarehe 10/11/2026
09/11/2026

MTAG FUNDI RANGI TUMPE KAZI ….kuanzia tarehe 10/11/2026

09/11/2026

Behind the scenes: Kazi inavyoendelea site leo! đźš§đź’Ş
Hakuna siri kwenye matokeo mazuri—ni kazi ngumu, nidhamu, na umakini mkubwa kwenye kila hatua. Kujenga ni subira, na kila tofali linalowekwa leo ni hatua thabiti kuelekea kutimiza ndoto kubwa ya kesho. ✨
Kutoka chini kabisa kwenye msingi hadi hapa tulipofika, safari bado inaendelea na mafundi wapo kazini kwa ari na weledi wa hali ya juu! Always trusting the process. 🙏 Real estate / Ujenzi unahitaji moyo na ushirikiano mzuri, na tunashukuru kwa kila hatua tunayopiga.
Stay tuned kuona muonekano wa mwisho utakavyokaa! Utapenda! 💯🔥
SiteProgress TanzaniaConstruction HekimaZaSite UjenziWaKisasa

09/11/2026

Changamoto Kubwa za Mchanga
1.Chumvi na Kushika Kutu (Corrosion): Mchanga wa bahari una kiasi kikubwa cha chumvi (sodium chloride). Chumvi hii ikichanganywa kwenye zege, inanyonya unyevu na kushambulia nondo za chuma zilizomo ndani ya nguzo au jamvi.

2.Zege Kukosa Nguvu (Poor Bonding): Chembechembe za mchanga wa bahari mara nyingi huwa zimegawanyika na kuwa duara laini sana kutokana na kusuguliwa na mawimbi. Mchanga mzuri wa ujenzi (k**a mchanga wa mtoni au mlimani) unatakiwa kuwa na ncha zenye kona-kona (angular) ili ushikane vizuri na saruji na kokoto

3.Unyevu wa Kudumu (Dampness): Chumvi iliyo kwenye mchanga wa bahari inavuta unyevu kutoka kwenye hewa (hygroscopic properties). Hii inafanya kuta za nyumba kuwa na unyevu kila wakati, kupatwa na fangasi (ukungu), na kufanya rangi ya ukuta kubanduka mfululizo.

4.Kuhama kwa Udongo na Kuporomoka (Soil Shifting): K**a unajenga kwenye kiwanja chenye mchanga mwingi (beach sand), ardhi hiyo haina nguvu ya kubeba uzito mkubwa (low bearing capacity). Wakati wa kuchimba msingi, mchanga unaporomoka kirahisi, na jengo linaweza kuzama au kuinama lisipowekewa msingi madhubuti.

Hatua za Kuchukua Ili Kuepuka Janga Hili….zipo kwenye comment section ameandika 👉 Structural Engineer🇹🇿

Address

P. O. Box 308, Mbezi
Dar Es Salaam
123

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nelo construction company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nelo construction company:

Shortcuts

Share