Mbezi Tiles

Mbezi Tiles Number one provider of quality building products and services in Tanzania

Tunawatakia Eid yenye furaha, amani na baraka tele πŸŒ™βœ¨
27/05/2026

Tunawatakia Eid yenye furaha, amani na baraka tele πŸŒ™βœ¨

Roof Tiles zenye ubora usiopongika zinapatikana ndani ya  , linda nyumba yako kwa uimara wa kudumu.βœ… Mvua inyeshe, jua l...
27/05/2026

Roof Tiles zenye ubora usiopongika zinapatikana ndani ya , linda nyumba yako kwa uimara wa kudumu.

βœ… Mvua inyeshe, jua liwake β€” Roof Tiles zetu zinabaki imara. Ubora usiopongika!

CONTACT : +255 674 383 038

πŸ“ Mbezi Beach Africana

Happy Mother's Day
10/05/2026

Happy Mother's Day

Labour is the backbone of every nation’s success - Happy Labour Day!!!
01/05/2026

Labour is the backbone of every nation’s success - Happy Labour Day!!!

Kwa nini uchague Paving Blocks zetu?βœ“ Ubora usiopingika unaodumu kwa miaka.βœ“ Rahisi kusakinisha na kudumisha.βœ“ Zinachang...
01/05/2026

Kwa nini uchague Paving Blocks zetu?

βœ“ Ubora usiopingika unaodumu kwa miaka.
βœ“ Rahisi kusakinisha na kudumisha.
βœ“ Zinachangia muonekano wa kifahari na kisasa.

βœ… Usikose nafasi ya kubadilisha eneo lako kuwa mahali pazuri, lenye mvuto, na ubora wa kudumu.
______________

CONTACT : +255 674 383 038

πŸ“ Mbezi Beach Africana

We wish all Tanzanians a Happy Union Day
26/04/2026

We wish all Tanzanians a Happy Union Day

Kigae cha Mbezi Tiles si kizito ni chaguo sahihi kwa anayehitaji uimara, ubora na urahisi wa ufungaji.Kimeundwa kwa viwa...
22/04/2026

Kigae cha Mbezi Tiles si kizito ni chaguo sahihi kwa anayehitaji uimara, ubora na urahisi wa ufungaji.

Kimeundwa kwa viwango vinavyorahisisha kazi ya mafundi na kupunguza gharama zisizo za lazima, huku kikihakikisha matokeo bora na ya kudumu kwa nyumba au biashara yako.

Usikubali dhana potofu zikuzuie kufanya maamuzi sahihi.

Wasiliana nasi sasa upate ushauri na bei nafuu Mbezi Tiles, ubora unaoonekana na kudumu.

Hakuna kitu kinachokera k**a kutembea kwenye eneo lenye matope, maji yaliyotuama na udongo unaochafua viatu na mazingira...
14/03/2026

Hakuna kitu kinachokera k**a kutembea kwenye eneo lenye matope, maji yaliyotuama na udongo unaochafua viatu na mazingira ya nyumbani au biashara. Kila mvua inaponyesha, eneo linakuwa gumu kupita, magari yanateleza na viatu vinachafuka mara kwa mara.

Lakini suluhisho lake ni rahisi , paving blocks kutoka

Kwa kuweka paving blocks, unabadilisha kabisa muonekano wa eneo lako.

Paving blocks zina faida nyingi:
βœ” Zinapunguza kabisa matope wakati wa mvua
βœ” Zinapendezesha muonekano wa nyumba au biashara
βœ” Zinadumu kwa muda mrefu
βœ” Ni rahisi kutunza na kusafisha
βœ” Zinaongeza thamani na hadhi ya eneo lako

Leo chukua hatua ya kubadilisha mazingira yako kutoka tope kwenda paving. Fanya eneo lako liwe safi, zuri na lenye kuvutia kila anayefika.

CONTACT : +255 674 383 038

πŸ“ Mbezi Beach Africana

Je, unajenga? Anza na msingi imara.Hollow Blocks za  ni uimara wa nyumba yako.Tunatengeneza tofali zenye uzito sahihi, u...
14/03/2026

Je, unajenga? Anza na msingi imara.

Hollow Blocks za ni uimara wa nyumba yako.

Tunatengeneza tofali zenye uzito sahihi, uimara wa hali ya juu, na muundo unaohakikisha kuta zako zinadumu kwa miaka mingi bila kupasuka.

Kwa kutumia chipping, saruji safi na teknolojia ya kisasa ya ukandaji, tunakupa block zinazokaa sawa, zinazopunguza matumizi ya saruji na kuongeza kasi ya ujenzi.

Chagua ubora, chagua usalama, chagua Hollow Blocks zinazojenga nyumba yenye thamani na uthabiti kwa vizazi kutoka

Address

Mbezi Industrial Area Plot No. 108
Dar Es Salaam
P.O.BOX22180

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:30
Tuesday 08:00 - 16:30
Wednesday 08:00 - 16:30
Thursday 08:00 - 16:30
Friday 08:00 - 16:30
Saturday 08:00 - 15:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbezi Tiles posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share