10/11/2025
Tupigie namba hii 0759 8601 44 au gusa kitufe hapo chini Kwa ufafanuzi zaidi.
Tunajenga mashimo ya Choo cha kisasa kwa bei nafuu Sana, kwa shimo moja ni tshs 800,000, na kwa mfumo wa shimo la Mawe ni tshs 1,200,000.
Mifumo yote hiyo kila kitu kinakuwa juu yetu, isipokuwa maji tu.
Kwa wateja wa mikoani, bei ni Tshs 950,000 Kwa shimo moja, Kwa shimo lenye mfumo wa mawe bei ni Tshs 1,350,000.
Karibu tukuhudumie, kipaumbele chetu ni ukweli, ufanisi , uaminifu na uchapa kazi.
Bofya kitufe cha
WhatsApp hapo chini,au piga 0759 860 144