Emmanuel Mgonja

Emmanuel Mgonja Tunaunda Mashine za kutotolesha vifaranga (Incubator) za Solar, umeme na Gas. Tunatotolesha na kuuza

Hii sio ya kukosa.
26/07/2024

Hii sio ya kukosa.

Darasa la Bure kabisa kuhusu ufugaji kuku. Tafadhali usikose kutazama kipindi kitakacho kuongezea maarifa makubwa kuhusu...
01/07/2024

Darasa la Bure kabisa kuhusu ufugaji kuku. Tafadhali usikose kutazama kipindi kitakacho kuongezea maarifa makubwa kuhusu ufugaji kuku. ahsanteni sana πŸ™

Majengo Big Day ilifana sana Kigogo Fresh SDA Church πŸ™
01/07/2024

Majengo Big Day ilifana sana Kigogo Fresh SDA Church πŸ™

01/07/2024
Ilikua heshima kubwa kuabudu pamoja na Mheshimiwa Jerry Silaa, waziri wa Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi katika iba...
29/06/2024

Ilikua heshima kubwa kuabudu pamoja na Mheshimiwa Jerry Silaa, waziri wa Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi katika ibada maalumu ya majengo katika kanisa la Kigogo Fresh πŸ™. Tumebarikiwa sana na ujio wake.

Karibuni sana sabato hii tubarikiwe pamoja. πŸ™
28/06/2024

Karibuni sana sabato hii tubarikiwe pamoja. πŸ™

Mahari tuliyolipa ilikua ndogo sana. Wakwe zangu najipanga nije kulipa tena mahari. ❀️❀️πŸ₯°
16/06/2024

Mahari tuliyolipa ilikua ndogo sana. Wakwe zangu najipanga nije kulipa tena mahari. ❀️❀️πŸ₯°

Happy birthday sweetheart. Nakupenda alafu nakupendaaaaa  😘πŸ₯°β€οΈπŸ˜
02/06/2024

Happy birthday sweetheart. Nakupenda alafu nakupendaaaaa 😘πŸ₯°β€οΈπŸ˜

Karibuni sana πŸ™
03/05/2024

Karibuni sana πŸ™

Tumehitimisha mahubiri ya hadhara ya wiki mbili. Mungu ni mwema sana. Watu kumi na sita wamebatizwa.πŸ™
10/02/2024

Tumehitimisha mahubiri ya hadhara ya wiki mbili. Mungu ni mwema sana. Watu kumi na sita wamebatizwa.πŸ™

Marrying you was the best decision of my life.   Happy five years of marriage to us 😍❀️. May God bless our lovely relati...
06/01/2024

Marrying you was the best decision of my life. Happy five years of marriage to us 😍❀️. May God bless our lovely relationship, let’s celebrate our fifth anniversary in the presence of the Almighty.πŸ™

Ahsante mke wangu, mrembo Africa Mashariki na kati, mpole, msomi, mama bora na mke mwema kabisa ambaye nilipewa na Bwana...
27/12/2023

Ahsante mke wangu, mrembo Africa Mashariki na kati, mpole, msomi, mama bora na mke mwema kabisa ambaye nilipewa na Bwana. Nakosa maneno ya kueleza ila nguvu na juhudi za kupambana ni sababu ya utulivu wa akili na moyo unaonipatia. Basi nisiwachoshe wasomaji ila niseme tu, mahari tuliyolipa ni ndogo. nakupenda sana Jana leo na hata mileleβ€οΈπŸ™

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emmanuel Mgonja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Emmanuel Mgonja:

Share