TrackNav TZ

TrackNav TZ Kutoka kununua gari, kufuatilia hadi kukadiria thamani tunakuweka salama na taarifa sahihi wakati wot

The future of telematics is being shaped by more than technology. It is being shaped by how businesses use that technolo...
21/08/2026

The future of telematics is being shaped by more than technology. It is being shaped by how businesses use that technology to solve real challenges.
At the Teltonika Telematics Summit in Nairobi, Eezy Group joined industry leaders and stakeholders from across East Africa for conversations around asset security, risk management, financial services, mobility and the opportunities ahead for the telematics industry.
As a group operating across the mobility and automotive ecosystem, we brought our perspective on how technology can create greater value for businesses, strengthen asset protection and enable smarter decisions.
The conversations reinforced one thing: the next phase of telematics will be about moving beyond tracking to creating solutions that have a measurable impact across industries.
We’re proud to be part of that journey and to continue contributing to the evolution of a smarter, more connected East Africa.

Kutoka kwenye presha hadi amani ya moyo ndani ya sekunde chache! Kwa nini uwe na stress kuhusu usalama wa gari lako waka...
17/08/2026

Kutoka kwenye presha hadi amani ya moyo ndani ya sekunde chache!

Kwa nini uwe na stress kuhusu usalama wa gari lako wakati unaweza kuwa na udhibiti kamili kiganjani mwako? Ikitokea dharura yoyote, TRACKNAV ipo kwa ajili yako. Kupitia mfumo wetu wa Live GPS Tracking, unaweza kujua gari lako lilipo kwa usahihi muda huo huo na kuwadhibiti wezi haraka sana. πŸš—πŸ“

Usikubali usalama wa gari lako uwe wa kubahatisha.
πŸ“² Piga/WhatsApp kufungiwa Tracker yako leo: +255 761 918 849

Kupata gari linaloendana na maisha yako na bajeti yako haijawahi kuwa rahisi kiasi hiki. Sisi tunakuhakikishia utapata g...
12/08/2026

Kupata gari linaloendana na maisha yako na bajeti yako haijawahi kuwa rahisi kiasi hiki. Sisi tunakuhakikishia utapata gari la ndoto zako kwa bei shindani kabisa sokoni. Hakuna stress, hakuna kona kona, ni wewe tu na funguo zako! πŸ”‘

Usisubiri kesho, timiza ndoto yako leo:
πŸ“² Jisajili haraka hapa: www.garisuretz.net
πŸ“ž Tupigie kwa msaada zaidi: +255 761 918 849

Pumzika ukijua gari lako lipo salama! Kwa nini uwe na presha juu ya usalama wa gari lako? Ukiwa na mfumo wa Eezy Track k...
10/08/2026

Pumzika ukijua gari lako lipo salama!
Kwa nini uwe na presha juu ya usalama wa gari lako? Ukiwa na mfumo wa Eezy Track kutoka TrackNav TZ, unakuwa na uwezo wa kudhibiti na kuona gari lako popote lilipo moja kwa moja kupitia simu yako ya mkononi. Kuwa na amani ya moyo, popote uendapo!

βœ… Fuatilia gari lako 24/7
βœ… Jua lilipo kwa usahihi (Live Tracking)
βœ… Dhibiti mienendo yake yote mkononi mwako.

Funga GPS Tracker yako leo na uanze kufurahia amani ya moyo!
πŸ“² Piga sasa: +255 761 918 849

Kutafuta gari bora haijawahi kuwa rahisi kiasi hiki.Tunajua thamani ya pesa yako. Ndiyo maana tunakupa magari bora, bei ...
05/08/2026

Kutafuta gari bora haijawahi kuwa rahisi kiasi hiki.

Tunajua thamani ya pesa yako. Ndiyo maana tunakupa magari bora, bei za haki, na huduma ya uhakika katika kila hatua ya safari yako ya umiliki wa gari. Hakuna kona konaingia mtandaoni, chagua gari, na tutahakikisha funguo zinafika mkononi mwako kwa usalama na uhakika. 🀝

Anza safari yako leo:
πŸ“² Bonyeza: www.garisuretz.net
πŸ“ž Piga sasa: +255 761 918 849

Gari lako ni uwekezaji mkubwa!  Je, unajua thamani yake halisi sokoni kwa sasa? πŸ€”Usifanye maamuzi kwa kubahatisha. Pata ...
03/08/2026

Gari lako ni uwekezaji mkubwa! Je, unajua thamani yake halisi sokoni kwa sasa? πŸ€”

Usifanye maamuzi kwa kubahatisha. Pata tathmini ya kitaalamu kutoka TrackNav TZ itakayokusaidia kufanya maamuzi sahihiβ€”iwe unapanga kuuza, kununua, au kwa ajili ya bima.

πŸ‘‡ Book your Valuation Now!
πŸ“ž +255 761 918 849
🌐 www.tracknav.co.tz

Usiuze, usinunue, usikate bima kwa kubahatisha!Thamani halisi ya gari lako ni msingi wa kufanya maamuzi sahihi. Pata hud...
27/07/2026

Usiuze, usinunue, usikate bima kwa kubahatisha!
Thamani halisi ya gari lako ni msingi wa kufanya maamuzi sahihi. Pata huduma ya tathmini ya gari kutoka kwa wataalamu wenye uzoefu na upate ripoti ya kuaminika kwa matumizi ya mauzo, ununuzi, bima au mikopo.

βœ… Tathmini sahihi na ya kitaalamu
βœ… Huduma ya haraka na yenye kuaminika
βœ… Ripoti inayokubalika kwa matumizi mbalimbali
βœ… Maamuzi yenye uhakika na amani ya moyo

πŸ“ž Wasiliana nasi leo:
+255 761 918 849

Tracknav TZ – Tunakusaidia kujua thamani halisi ya gari lako kabla ya kufanya uamuzi mkubwa. πŸš—βœ¨

# # #

Usisubiri hadi tatizo litokee ndipo uchukue hatua. Funga GPS Tracker ya TrackNav TZ na fuatilia gari lako muda wowote, m...
22/07/2026

Usisubiri hadi tatizo litokee ndipo uchukue hatua. Funga GPS Tracker ya TrackNav TZ na fuatilia gari lako muda wowote, mahali popote kupitia simu yako.

βœ… Ufuatiliaji wa moja kwa moja (Live Tracking)
βœ… Ongezeko la usalama dhidi ya wizi
βœ… Kujua eneo la gari lako wakati wote
βœ… Amani ya moyo kwako na familia yako

πŸ“ Linda uwekezaji wako leo!

πŸ“ž Wasiliana nasi:
+255 761 918 849

Kwenye biashara ya magari, taarifa sahihi ndiyo faida yako kubwa. πŸš—Kujua thamani halisi ya gari lako kunakusaidia:βœ”οΈ Kuj...
20/07/2026

Kwenye biashara ya magari, taarifa sahihi ndiyo faida yako kubwa. πŸš—

Kujua thamani halisi ya gari lako kunakusaidia:
βœ”οΈ Kujadiliana kwa kujiamini
βœ”οΈ Kuepuka kuuza kwa hasara
βœ”οΈ Kununua kwa bei halisi ya soko

Usifanye maamuzi kwa makisio. Fanya maamuzi kwa uhakika.

Wasiliana nasi leo.

πŸ“ž +255 761 918 849
🌐 www.tracknav.co.tz

Safari ya kumiliki au kuuza gari inaanza hapa!Kwa nini upoteze muda kutafuta wanunuzi au magari sehemu mbalimbali, wakat...
15/07/2026

Safari ya kumiliki au kuuza gari inaanza hapa!

Kwa nini upoteze muda kutafuta wanunuzi au magari sehemu mbalimbali, wakati unaweza kupata kila kitu kwenye jukwaa moja?

GarisureTZ inakuunganisha na fursa za magari kwa urahisi, haraka na kwa uhakika.

βœ… Tafuta gari lako la ndoto
βœ… Tangaza gari lako liuzwe kwa urahisi
βœ… Pata mwongozo wa kitaalamu kila hatua

Anza hapa. Fika mbali.

🌐 www.garisuretz.net
πŸ“ž +255 761 918 849

πŸ’¬ Andika "NATAKA GARI" au "NATAKA KUUZA GARI" kwenye Inbox tukusaidie kuanza.

Address

Morogoro Road, Dar Es Salaam, Tanzania
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TrackNav TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share