R & A Works Co. Ltd

R & A Works Co. Ltd CIVIL WORKS, BUILDING AND SPECIALIST CONTRACTORS

Wenye masikio na wasikie!
03/08/2022

Wenye masikio na wasikie!

01/07/2022

Bajeti mpya imeanza. Je bei ya karatasi iliyopaa itashuka?

Njaa inanukia tujiwekee akiba ya chakula ya kutosha!

Tuzidishe maombi maana hali ya kipato haieleweki!
29/06/2022

Tuzidishe maombi maana hali ya kipato haieleweki!

23/10/2020

Ni mwaka wa tano hatujalipwa madai yetu. Mungu aonaye sirini atuhurumie na atukoe nasi tuweze kulipa wanaotudai wakiwepo wafanyakazi, waliotukopesha na mamlaka ya mapato.

31/05/2019

Tuna mali nyingi sana hapa nchini. Tuongeze kasi ya ugunduzi kwa manufaa yetu sisi wenyewe. Wagunduzi wapewe kipaumbele na serikali. Zaidi ni jinsi ya kutatua upatikanaji wa maji safi na salama hapa nchini. Jinsi ya kuhifadhi na kusafisha!

26/03/2019

Kwa wakati huu Ni vyema halmashauri za miji ya Korogwe na Same zikaweka taa za barabarani kwenye njia kuu ya Dar - Arusha. Ukipita usiku kwenye miji hii ni giza tupu wakati watumiaji ni wengi.

16/02/2019

Ile dawa ya kudhibiti mbu inayotengenezwa pale Kibaha inapatikana wapi?

Project: Orphanage Centre at Kunduchi Kilongawima DSM
31/01/2019

Project: Orphanage Centre at Kunduchi Kilongawima DSM

29/01/2019

JAMANI KWA WALIOHAKIKIWA MADENI YAO NI LINI TUTALIPWA?

19/12/2018

KUNA ILE DAWA YA MENDE AINA YA CHAKI KUTOKA CHINA. INAPATIKANA WAPI SIKU HIZI? NILIITUMIA MIAKA KUMI ILIYOPITA SASA NGUVU IMEISHA MENDE WAMEANZA KUONEKANA TENA.

01/11/2018

SERIKALI IANDAE MPANGO WA KUWEKA VITEGA RADI (LIGHTING ARRESTORS) KATIKA SHULE ZOTE ZILIZOPO MAENEO YENYE TATIZO HILO.

Address

Duma Street, Mbezi Beach A
Dar Es Salaam
P.O.BOX7843DSM

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00

Telephone

+255754311253

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when R & A Works Co. Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to R & A Works Co. Ltd:

Share