Jh solar solutions

Directions Website

Jh solar solutions Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jh solar solutions, Solar Energy Service, Dar es Salaam.

05/10/2026

WEKEZA KWENYE UHURU WA NISHATI!

Tunajivunia kushirikisha mradi tuliomfungia mteja wetu mfumo mkubwa wa Solar Hybrid wenye uwezo wa kumsaidia kuendelea na matumizi ya umeme masaa 24 kwa siku.

18kW Hybrid Inverter
45kWh Lithium Battery
17.55kWp Solar Array

Matokeo?
Mteja wetu anaendelea kutumia mfumo wake wa umeme bila kutegemea umeme wa TANESCO k**a chanzo chake kikuu cha nishati.

Mfumo unazalisha na kuhifadhi nishati ya jua wakati wa mchana, huku betri ikisaidia kuendelea kutoa umeme wakati wa usiku na pale ambapo hakuna uzalishaji wa jua.

Suluhisho bora kwa:
🏢 Biashara & Ofisi
🏨 Hotels
🏫 Shule
🏭 Viwanda & Workshops
🏠 Nyumba kubwa
🌾 Farms & Commercial Projects

Usisubiri bili kubwa za umeme au kukatika kwa umeme kuathiri shughuli zako. Wekeza kwenye Solar na udhibiti zaidi matumizi ya nishati yako.

📞 JH SOLAR SOLUTIONS
📲 +255 768 782 192
📧 [email protected]

🚚 Tunafanya delivery & installation Tanzania nzima.

JH SOLAR SOLUTIONS — Power Your Future.

05/10/2026

BCT-FXC-6.5KW-P SOLAR INVERTER

Unatafuta inverter yenye uwezo mkubwa kwa nyumba, biashara, ofisi au mfumo wa backup? Hii 6.5kW Solar Inverter ni chaguo imara kwa mfumo wa solar wa kisasa.

BATTERY
• Rated Voltage: 48V DC
• Battery Range: 40–60V
• Max AC Charging Current: 120A

SOLAR / PV INPUT
• Max PV Power: 9,000W
• Max Open Voltage: 500V DC
• Max PV Input Current: 27A
• MPPT Range: 60–450V DC
• Max PV Charging Current: 120A

AC OUTPUT
• Rated Power: 6,500W / 6,500VA
• Output Voltage: 230V
• Frequency: 50/60Hz
• Rated Current: 28.3A

AC INPUT
• Input Voltage Range: 90–280V
• Max AC Bypass Current: 40A
• Frequency: 50/60Hz

BONUS: Ina support parallel connection hadi units 9, kwa kuongeza uwezo wa mfumo pale mahitaji yanapoongezeka.

TECHNICAL FEATURES
✅ Operating Temperature: -10°C hadi 60°C
✅ Protection: IP21
✅ Safety Class I
✅ CE Certified
✅ Made in China

Inafaa kwa:
🏠 Nyumba | 🏢 Ofisi | 🏪 Biashara | 🏫 Shule | 🏭 Miradi mikubwa ya Solar

📍 JH SOLAR SOLUTIONS
Tunauza, tunafunga na kushauri mifumo ya solar kulingana na matumizi yako. Delivery Tanzania nzima.

📞 +255 768 782 192
📧 [email protected]

Usinunue inverter kwa kuangalia kW pekee—chagua mfumo unaolingana na matumizi yako!

03/10/2026

BLUE CARBON 48V 200Ah – 12kWh LITHIUM BATTERY

Upgrade mfumo wako wa solar kwa battery yenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi nishati na kukupa power unapohitaji.

✅ Capacity: 12kWh
✅ Voltage: 48V
✅ Capacity: 200Ah
✅ Technology: Lithium Battery
✅ Inafaa kwa Solar Systems, Homes, Offices & Businesses
✅ Energy storage ya kuaminika kwa matumizi ya mchana na usiku
✅ Compatible na mifumo mbalimbali ya 48V Hybrid Inverters

Store solar energy today. Use it when you need it.

BLUE CARBON brand – Available in Stock
🚚 Delivery Tanzania nzima

📞 JH SOLAR SOLUTIONS
📱 +255 768 782 192
📧 [email protected]

03/10/2026

SOLAR FLOOD LIGHTS/SPORT LIGHTS.

HIZI NI TAA BORA NA IMARA.
ZINA JIWASHA PINDI ZINAPO HISI GIZA.
ZINATUMIA REMOTE CONTROL (SIO LAZIMA SANA).
ZIMETENGENEZWA KUHIMILI HALI ZOTE ZA HEWA.
BATTERY LAKE UHIFADHI CHARGE KWA MDA MREFU.
WARRANTY NI MIAKA 10.

ZINAFAA KWA;-
SEHEMU ZA WAZI
SEHEMU ZA MAEGESHO YA MAGARI
MASHAMBANI
SHULE NI.
SEHEMU ZA BIASHARA NA KADHARIKA

ZINAPATIKANA KWA BEI YA JUMLA PAMOJA NA REJAREJA.

WASILAIANA NASI KWA;-
+255768782192
[email protected]



03/10/2026

WEKA ENEO LAKO SALAMA NA TAA ZA SOLAR KUTOKA KWETU JH SOLAR SOLUTIONS.

TUNAKUHAKIKISHIA WARRANTY YA MIAKA 10
AFTER SALES SUPPORT MDA OTE
BEI NI RAFIKI SANA.

TUNAPATIKANA MWENGE ITV NA
MIKOCHENI A KARIBU NA SHULE YA FEZA YA WATOTO

KWA MAWASILIANO ZAIDI
+255768782192
[email protected]




30/09/2026

KING LIGHT SOLAR STREET LIGHTS — ZIPO STOCK!

Unatafuta taa za sola zenye mwanga mkali, uimara na matumizi ya muda mrefu?

a) King Light Solar Street Lights
b) Warranty ya Miaka 10 🛡️
c) Hazihitaji umeme wa TANESCO
d) Inafaa kwa nyumba, biashara, parking, barabara, shule na maeneo mbalimbali
e) Bei: TSh 700,000 tu!
f) Zipo STOCK — oda yako leo!

📞 Piga/WhatsApp: +255 768 782 192
📧 Email: [email protected]

🚚 JH SOLAR SOLUTIONS — Tunakuletea nishati safi, salama na ya uhakika.

25/09/2026
22/09/2026

6.5kW HYBRID INVERTER

Power your home or business with reliable solar energy!

🔹 Rated Power: 6.5kW
🔹 Battery: 48V
🔹 PV Input: Up to 27A
🔹 MPPT Voltage: 60–450V
🔹 Max PV Voltage: 500V
🔹 Solar Charging: 120A
🔹 Pure Sine Wave Output
🔹 Lithium & Lead-Acid Battery Compatible
🔹 CAN/RS485 BMS Communication
🔹 Wi-Fi Monitoring 📱
🔹 Parallel Connection: Up to 9 units
🔹 Single Phase
🔹 Suitable for homes, offices, shops & businesses

Switch to solar. Reduce electricity costs. Enjoy reliable power.

📍 JH SOLAR SOLUTIONS
📞 +255 768 782 192
📧 [email protected]

Delivery available Tanzania nzima.
Installation & professional solar system sizing available.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jh solar solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share