bab_d.generalsupplies

bab_d.generalsupplies Dealer in Construction & Building materials

We design your comfort 🏘️ .generalsupplies Kwa mahitaji ya Ramani za ujenzi Call us via 0624 058460 ☎️
11/04/2026

We design your comfort 🏘️ .generalsupplies

Kwa mahitaji ya Ramani za ujenzi Call us via 0624 058460 ☎️

Tumekabidhi HATI ya pili kwa mteja wetu 🔥Tumebakiwa na kiwanja kimoja tuu kwenye Mradi wetu wa Pili wa viwanja vilivyopi...
26/11/2025

Tumekabidhi HATI ya pili kwa mteja wetu 🔥

Tumebakiwa na kiwanja kimoja tuu kwenye Mradi wetu wa Pili wa viwanja vilivyopimwa Pemba Mnazi (Chaurembo) Kigamboni. [Swipe 🟢 ]

Bei kwa Square Meter Moja 16,000/=

☎️ 0624 058460

“NI WAKATI WAKUTEMBEZA HATI” 🔥Mteja wetu wa kwanza kukamilisha malipo kwenye mradi wetu wa Pili wa viwanja Kigamboni Pem...
15/10/2025

“NI WAKATI WAKUTEMBEZA HATI” 🔥
Mteja wetu wa kwanza kukamilisha malipo kwenye mradi wetu wa Pili wa viwanja Kigamboni Pemba Mnazi (Chaurembo) leo asubuhi amekabidhiwa HATI ya WIZARA YA ARDHI.

Tumebakiwa na Kiwanja kimoja (SWIPE 🟢) tuu kwenye huu mradi wetu wa Pili, Viwanja vyote Vimepimwa.

HATI ni bure ☎️ 0624 058460

Leo tumekabidhi hati mbili kwa mdau wetu aliewekeza kwenye mradi wetu Kigamboni pemba mnazi 🤝 Tunawakaribisha wadau kunu...
30/06/2025

Leo tumekabidhi hati mbili kwa mdau wetu aliewekeza kwenye mradi wetu Kigamboni pemba mnazi 🤝

Tunawakaribisha wadau kununua viwanja kwenye mradi wetu wa sasa uliopo Kigamboni. Vimebaki viwanja vichache.

3D Model | Proposed Construction of Parking Lot , Zanzibar 🏡🔥 | Designed by .generalsupplies 0624 058460Kwa Mawasiliano ...
22/06/2025

3D Model | Proposed Construction of Parking Lot , Zanzibar 🏡🔥 |

Designed by .generalsupplies 0624 058460

Kwa Mawasiliano ya Ramani za Ujenzi wasiliana nasi Mdau. 🤝

[ Slide 1 ]Survey Plan   KIGAMBONI PEMBA MNAZI[ Slide 2 ]  Viwanja vitatu (3) vilivyobaki katika Mradi wetu Viwanja vili...
28/05/2025

[ Slide 1 ]Survey Plan KIGAMBONI PEMBA MNAZI

[ Slide 2 ] Viwanja vitatu (3) vilivyobaki katika Mradi wetu Viwanja vilivyopimwa 🔥

Viwanja Uko sehemu inayofikika kwa urahisi na umezunguka na barabara kuu mbili za mtaa.

Bei ni 16,000/= kwa square meter moja.

HATI ya kwanza kukabidhiwa kwa mteja wetu 2025 ✅Karibu na wewe kununua Kiwanja kwenye mradi wetu mpya Kigamboni Pemba Mn...
03/02/2025

HATI ya kwanza kukabidhiwa kwa mteja wetu 2025 ✅

Karibu na wewe kununua Kiwanja kwenye mradi wetu mpya Kigamboni Pemba Mnazi 🔥

Swipe kuona viwanja vilivyobaki.

Proposed Construction of Bus Stand 🏠Prepared by .generalsupplies &  . 0624 058460 kwa mahitaji ya Ramani ya Ujenzi.
26/01/2025

Proposed Construction of Bus Stand 🏠

Prepared by .generalsupplies & .

0624 058460 kwa mahitaji ya Ramani ya Ujenzi.

13/11/2024 .generalsupplies Tumekabidhi HATI kutoka Wizara ya Ardhi kwa Mteja wetu aliemaliza malipo yote ya kiwanja kwe...
13/11/2024

13/11/2024 .generalsupplies Tumekabidhi HATI kutoka Wizara ya Ardhi kwa Mteja wetu aliemaliza malipo yote ya kiwanja kwenye mradi wetu wa Awali.

Kigamboni Pemba Mnazi [ 630 sqm ]

MRADI MPYA ❗️ MRADI MPYA ❗️ Ulipo:*Mradi wetu mpya wa viwanja vilivyopimwa uko Manispaa ya Kigamboni kata ya Pemba Mnazi...
13/10/2024

MRADI MPYA ❗️ MRADI MPYA ❗️

Ulipo:
*Mradi wetu mpya wa viwanja vilivyopimwa uko Manispaa ya Kigamboni kata ya Pemba Mnazi mtaa wa Kibungo.
*Viwanja ni Vya Biashara Makazi (Commercial Residential)

Sifa za Mradi:
*Mradi umezungukwa na Barabara Kubwa za mita 30.
*Mradi upo kilomita moja kutoka Shule ya sekondari Pemba mnazi.
*Nguzo za umeme ziko mbele ya mradi wetu.

Bei:
16,000/= kwa Square Mita moja (mita za mraba)

Tumebakiwa na viwanja vi3 tuu, vingine vyote tayari vimenunuliwa, wahi sasa mdau 🔥

Address

Pugu
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when bab_d.generalsupplies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share