13/02/2026
Apple haijathibitisha rasmi tarehe ya kutolewa ya iPhone 18 pro na 18 pro Max, lakini kulingana na taarifa za tovuti ya upelelezi ya soko, kuna mawazo makuu kuhusu lini na jinsi itakavyokuwa bora zaidi kuliko iPhone 17 ;
📌 iPhone 18 Pro na Pro Max (na foldable mpya) — inatarajiwa kutolewa 2026, kawaida Septemba. Hii ni sawa na ratiba ya miaka yote ya kuachiliwa kwa bidhaa ya Apple kwa modeli zake za juu.
Hizi ni baadhi ya vitu vinavyosemwa kuonekana kwenye iPhone 18 (hasa Pro/Pro Max):
⚡ Processor mpya:
🔹 Itatumia A20 chip mpya, yenye ufanisi wa hali ya juu, na uwezo wa AI kuliko A19 iliyopita.
📸 Kamera:
🔹 Modi ya Pro inaweza kupata variable-aperture camera — hii inaruhusu lens kubadilisha ukubwa wa aperture, na kufanya picha kuwa bora zaidi hasa kwenye mwanga mdogo (usiku) na mwanga mwingi
Pia Kwa mara ya kwanza Apple inatarajiwa kutoa model ya foldable, pia k**a sehemu ya familia ya iPhone 18.
Karibu kwa ajili ya ;
Kubadilisha vioo vya simu aina zote Original Quality
Kubadilisha betry za simu aina zote zenye uwezo mkubwa
Namba zetu ni 0764111116.