29/01/2025
Moja ya inayokua kwa kasi sana ni biashara ya za .
Faida ya biashara hii ninkuwa, marighafi yanapatikana kwa gharama ndogo sana.
Bei ya kuuzia ipo juu sana. Jambo ambalo linaifanya iwe biashara yenye faida kubwa sana ikiwa tu utaamua kuifanya kwa nguvu zako zote.
Mahitaji muhimu ya biashara hii ni;
1. Marighafi husika ( chupa za plastiki )
2. Vitendea kazi k**a ( ya ), Mashine ya kugandakiza ( au ),
3. Wateja
4. Wafanyakazi
5. Mtaji wa kutosha
Mahitaji haya ni rahisi sana kuyapata ikiwa tu una nia ya kweli kukamilisha au kuufanya mradi huu. Kwa sababu, mahitaji haya yote yapo na yanapatikana hapahapa Tanzania.
Ikiwa unahitaji msaada wowote katika mahitaji haya wasiliana nasi tutakusaidia.
Kwetu utaweza kuzipata aina zote, Wafanyakazi, ushauri wa biashara n.k
Mawasiliano: 0682 836 463
Location: TEMEKE - DAR ES SALAAM
share, save post hii, pia follow page yetu uweze kujifunza mengi zaidi bure kabisaaa.