Mashimo Ya Vyoo Vya Kisasa

Mashimo Ya Vyoo Vya Kisasa Watalaamu wa ujenzi wa mashimo ya vyoo vya kisasa vinavyokaa muda mrefu bila kujaa maji taka,karibun

09/10/2025

Celebrating my 4th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

06/03/2024
21/10/2023

VITU VITAKAVYOKUSAIDIA KATIKA KUPATA HUDUMA YA UJENZI WA MASHIMO YA VYOO VYA KISASA VINAVYOCHUKUA MUDA MREFU BILA KUJAA

1. Fahamu kuhusu ujenzi wa mashimo ya vyoo vya kisasa kwenye Makala mbalimbali, mitandao ya kijamii, marafiki waliowai kujengewa

2. Fahamu jinsi Gani mashimo hayajai (Mechanism of

action),

3. Tatuta shuhuda ( Testimony) Kwa mtu aliewai kujengewa miaka Hio ya nyuma na mpk saivi hajawai kuvuta Maji,unaweza ukabahatika kupata ushahudi Kwa jirani au kupitia majibu kwa mafundi wa mashimo mitandaoni

4. Tafuta fundi/kampuni sahihi ambae atakupa huduma itakayokufanya uwe huru bila wasiwasi na hatima ya kazi utategemea kuridhika kutarajia k**a ulivokua unatarajia kichwan mwako

5. Kwenye kutafuta fundi Tazama Profile Zake katika platform Zake za social media na Tazama mtiririko wake wa kazi

6.... Tembelea kwenye website yetu Kwa ushauri unafuata pale utapokua unamuda mzuri,hapa nitajaza board

🌐shimoze.com
🌐shimoze.com
ka-Google Kwa maelezo ya kina pamoja na Gharama za ujenzi

🔹 Mfumo Huu umeonekana kukubaliwa na watu wengi sana kutokana na Faida zake za muhimu
🔹Mfumo huu umekuja na faida zifuatazo:
☀️-->Kuchukua eneo dogo la kiwanja
☀️-->Kuondoa gharama za kuita gari la maji taka
☀️-->Bei yake ni nafuu (Tazama Bei kwenye ⚠️WEBSITE yetu hapo kwenye bio
☀️-->Ni imara hata Kwa kufanya shughuli zingine k**a parking na bustani
☀️-->Hakitoi harufu mbaya ya Maji taka

🔊 Tunapatikana Dar es salaam mbezi ila Kwa Dodoma ni Kikuyu
⚠️ Kumbuka Malipo ni baada ya kujiridhisha na kazi

⚠️⚠️TUMIA FACEBOOK ORIGINAL SIO FACEBOOK LITE ,,Sasa angalia maajabu ya shimoze 🙆🏿‍♂️,Gusa Picture ama🌐kuona angle zote ...
12/09/2023

⚠️⚠️TUMIA FACEBOOK ORIGINAL SIO FACEBOOK LITE ,,Sasa angalia maajabu ya shimoze 🙆🏿‍♂️,Gusa Picture ama🌐kuona angle zote za site tulioifanya Musoma mrangi majita au zungusha simu Yako utaona maajabu 🙆🏿‍♂️ utaona pande zote na live video yake ipo chini ya hii kwenye Page yetu ya Mashimo Ya Vyoo Vya Kisasa

TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM,TEMEKE ,YOMBO VITUKA

Tunatoa huduma ya ujenzi wa mashimo ya vyoo vya kisasa vinavyochukua muda mrefu Sana bila kujaa maji taka

👉 Huchukua eneo dogo pamoja na Gharama nafuu kabisa

TAZAMA PAGE YETU UONE KAZI ZETU LIVE TUKIWA SITE TUNAJENGA (TRANSPARENCY IS IMPORTANT)

Karibu sana SHIMOZE LATRINE BUILDERS

SMART CHOICE LIES ON A SMART COMPANY

Mawasiliano zaidi 0628322341
⚠️ Website Kwa gharama na maelezo mwengine
👉https://shimoze01.renderforestsites.com/services/?fbclid=PAZXh0bgNhZW0CMTEAAaaDtqYG1zpaGUso9Ph0XM6xft_ePBf8HIjP8oIRZo0dtmhN-neO0aR_dAw_aem_Fvwe5HrlNRmuXPygz2UQFA

⚠️ JINSI UNAVYOZUNGUSHA SIMU NDIVYO UNAWEZA KUONA ANGEL ZOTE  Jinsi Gabi ndani ya shimo la choo Cha kisasa Panavyokua Am...
09/09/2023

⚠️ JINSI UNAVYOZUNGUSHA SIMU NDIVYO UNAWEZA KUONA ANGEL ZOTE Jinsi Gabi ndani ya shimo la choo Cha kisasa Panavyokua

Ama bonyeza alama ya 🌐 kui- control mwenyewe

NI mashimo ya vyoo vya kisasa vinavyochukua muda mrefu Sana bila kujaa maji taka

Karibu sana kwenye website yetu Kwa maelezo ya kina kuhusu ujenzi (Vipimo ,faida zake pamoja na Gharama Zake)

TAZAMA WEBSITE 👇KWA MAELEZO YA BEI NA VIPIMO🙏
https://shimoze01.renderforestsites.com/services/?fbclid=PAZXh0bgNhZW0CMTEAAaaDtqYG1zpaGUso9Ph0XM6xft_ePBf8HIjP8oIRZo0dtmhN-neO0aR_dAw_aem_Fvwe5HrlNRmuXPygz2UQFA
Shimoze Latrine builders ni chaguo lako
(Best choice)

I gained 356 followers, created 40 posts and received 1,006 reactions from March to June! Thank you all for your continu...
27/06/2023

I gained 356 followers, created 40 posts and received 1,006 reactions from March to June! Thank you all for your continued support. I could not have done it without you. 🙏🤗🎉

17/06/2023

Big shout out to those who’ve recently engaged with me!

Baraka Sajilo, Beatrice Chilumba, Gilbert Kamugisha, Amo Msomali Jr., Amos Juma, Shazuu Fumawicha, Marwa Msabi, Hassan Kudra, Regina Mdoe, Mwalimu Chambuso, Isaya Mmbaga, William Mbia, Hassan Dallas, Mengi Mulinda, Jimmy Ludamila, Rehema Ngonyan, Ally Matta, MbwanaHussein Mswaki, Adela Mnjeru, Makole Benson, Mo Massimba, Abdul Hassani, Exavery Panja, Dickson John, Cosmas Gerion, Isaka Mgavafivi, Margaret Lamborghini, Sillason Makweta, Ignas Ndunguru, Zanuru Suleiman, Zainabu Richard Nyika, Chugga Melody, Elizabeth James, Daniel Sultan, Nyamajura Deusi, Qashy Wa Alliy, Valiant Boy Tz, Emanuel Mwanga, Eddie Ngowi, Johnson Emanuel, Mmakonde Tz, Omary Swalehe, Raphael L Ngullo, Eliya Ndagile, Sanga Zai, Muck Fleva Tz, Japhary Masanyiwa, Reuben Samwel, Mpok Mwakabende, Aisha Maganga

🎊🎉✨🎊🎉Wafuasi 3000? ,,Tunashukuru Kwa wale wote waliotu-follow na tunaahidi kuboresha profile yetu Kwa followers 3000 ina...
17/06/2023

🎊🎉✨🎊🎉Wafuasi 3000? ,,Tunashukuru Kwa wale wote waliotu-follow na tunaahidi kuboresha profile yetu
Kwa followers 3000 inatufanya kua kampuni pekee yenye Wafuasi wengi kuliko.. katika masuala ya ujenzi wa mashimo ya vyoo vya kisasa
Karibuni sana share Page yetu na unaeamin atanufaika na huduma zetu

Address

Dodoma
0000

Telephone

+255764921513

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mashimo Ya Vyoo Vya Kisasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share