Boresha Ujenzi

Boresha Ujenzi ๐Ÿ—๏ธ BoreshaUjenzi
๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ Tafuta Fundi | Tafuta Kazi
๐Ÿ› ๏ธ Ujenzi โ€ข Finishing โ€ข Materials
๐Ÿ“ฒ Wasiliana nasi sasa ๐Ÿ‘‡
wa.me/255752925260

09/06/2026
Mafundi, muda wa kusaka kazi kwa njia ya kisasa umefika! ๐Ÿ”ง๐Ÿ“ฒJiunge na BoreshaUjenzi App upate kazi kirahisi na kuongeza k...
04/05/2026

Mafundi, muda wa kusaka kazi kwa njia ya kisasa umefika! ๐Ÿ”ง๐Ÿ“ฒ
Jiunge na BoreshaUjenzi App upate kazi kirahisi na kuongeza kipato chako.
๐Ÿ‘‰ Jisajili sasa na uanze kupokea kazi! Whatsap wa.me//255752925260

26/04/2026

Hallo
Project zinazokamilishwa na Mafundi wetu

Kila siku watu wanapata mafundi kupitia simu zaoโ€ฆNa wanaanza ujenzi bila stress.Swali ni moja tu:Wewe unasubiri nini?๐Ÿ“ฒ B...
26/04/2026

Kila siku watu wanapata mafundi kupitia simu zaoโ€ฆ
Na wanaanza ujenzi bila stress.
Swali ni moja tu:
Wewe unasubiri nini?
๐Ÿ“ฒ BoreshaUjenzi inakuunganisha na:
โœ”๏ธ Mafundi bora
โœ”๏ธ Kazi zilizothibitishwa
โœ”๏ธ Huduma ya uhakika
๐Ÿšซ Usibaki nyuma wakati wengine wanaendelea
๐Ÿ‘‰ Comment โ€œFUNDIโ€
Uanze kupata fundi sahihi leo

๐Ÿ’ก โ€œSimu Yako Inaweza Kukuletea Kazi Kila Wikiโ€Sio lazima uwe na ofisi kubwa ili upate kazi๐Ÿ“ฒ Ukiwa na simu + BoreshaUjenz...
26/04/2026

๐Ÿ’ก โ€œSimu Yako Inaweza Kukuletea Kazi Kila Wikiโ€
Sio lazima uwe na ofisi kubwa ili upate kazi

๐Ÿ“ฒ Ukiwa na simu + BoreshaUjenzi unaweza:
โœ”๏ธ Kupata wateja wapya
โœ”๏ธ Kuonyesha kazi zako
โœ”๏ธ Kufanya kazi mfululizo bila kusimama
๐Ÿ”ฅ Hii ni njia mpya ya mafundi kupata kazi Tanzania
๐Ÿ‘‰ Swali ni: Umejiunga tayari?
Comment โ€œAPPโ€ ujue jinsi ya kuanza.



MAKOSA 5 YANAYOUA NDOTO YAKO YA UJENZI! ๐Ÿ โš ๏ธ(Swipe kuokoa mamilioni yako...๐Ÿ‘‰1. MSINGI & VIPIMO:Usijenge juu ya bahati nas...
25/04/2026

MAKOSA 5 YANAYOUA NDOTO YAKO YA UJENZI! ๐Ÿ โš ๏ธ
(Swipe kuokoa mamilioni yako...๐Ÿ‘‰

1. MSINGI & VIPIMO:
Usijenge juu ya bahati nasibu. Msingi mbaya na vipimo vya "kukisia" ndio chanzo cha nyufa na kuta kupinda. Jenga kwenye uhakika!

2. VIFAA DUNI & UNYEVU:
Vifaa vya bei rahisi vina gharama kubwa baadaye. Bila mfumo sahihi wa maji (drainage), unyevu utaharibu rangi na nakshi zako ndani ya mwaka mmoja.

3. MAFUNDI BILA USIMAMIZI:
Fundi mzuri anahitaji msimamizi bora. Usiache site yako iwe "shamba la darasa" kwa mafundi wasio na utaalamu.

ACHA KUBAHATISHA, JENGA KITAALAMU! ๐Ÿ‘Š
Ndoto yako inastahili ubora. BoreshaUjenzi tunakupa amani ya moyo kwa usimamizi na ushauri makini wa ujenzi.
๐Ÿš€ ANZA LEO:
๐Ÿ“ž WhatsApp: wa.me//255752925260 (Bofya Link kwenye Bio)
DM neno "UJENZI" kupata ushauri wa awali BURE!
๐ŸŒ Follow:
"Usiishie Kujenga, Boresha Ujenzi Wako Sasa!"

๐Ÿ  GHARAMA HALISI YA KUJENGA NYUMBA TANZANIAWatu wengi wanaanza ujenzi bila kuelewa gharama halisiโ€ฆ mwisho wake wanaishia...
25/04/2026

๐Ÿ  GHARAMA HALISI YA KUJENGA NYUMBA TANZANIA
Watu wengi wanaanza ujenzi bila kuelewa gharama halisiโ€ฆ mwisho wake wanaishia kukwama njiani au kutumia fedha zaidi ya walivyopanga.
๐Ÿ‘‰ Ukweli ni huu:
๐Ÿ“Š Mgawanyo wa Gharama za Ujenzi:
๐Ÿ”น 15% โ€“ Kiwanja na Hati
Hapa ndipo msingi wa kila kitu unaanzia. Hakikisha unapata eneo lenye hati halali ili kuepuka migogoro ya baadaye.
๐Ÿ”น 50% โ€“ Materials (Vifaa)
Hii ndiyo sehemu kubwa zaidi ya gharama. Ubora wa vifaa unaamua uimara wa nyumba yako. Usikimbilie bei rahisi ukasahau ubora.
๐Ÿ”น 25% โ€“ Fundi na Kazi
Fundi mzuri = kazi bora. Kuchagua mafundi wasio na ujuzi kunaweza kukuongezea gharama mara mbili kwa marekebisho.
๐Ÿ”น 10% โ€“ Umaliziaji (Finishing)
Hapa ndipo nyumba yako inapopata muonekano wa kuvutia. Tiles, rangi, ceiling, lighting โ€“ vyote vinaongeza thamani ya nyumba.
โš ๏ธ Kumbuka:
Gharama zinaweza kubadilika kulingana na eneo, aina ya nyumba na ubora wa vifaa utakavyochagua.
๐Ÿ’ก USHAURI MUHIMU:
โœ”๏ธ Panga bajeti kabla ya kuanza
โœ”๏ธ Tumia wataalamu sahihi
โœ”๏ธ Nunua vifaa bora mapema
โœ”๏ธ Epuka โ€œkubahatishaโ€ kwenye ujenzi
๐ŸŽฏ LENGO LETU BoreshaUjenzi
Tunakuunganisha na mafundi bora na kukusaidia kujenga kwa gharama sahihi bila hasara.
๐Ÿ“ฒ Wasiliana nasi leo: wa.me//255752925260

๐Ÿšจ HAYA NI MAKOSA 5 YA UJENZI YANAYOWAGHARIMU WATU MILIONI!Watu wengi hupoteza pesa nyingi kwenye ujenziโ€ฆsi kwa sababu ha...
23/04/2026

๐Ÿšจ HAYA NI MAKOSA 5 YA UJENZI YANAYOWAGHARIMU WATU MILIONI!
Watu wengi hupoteza pesa nyingi kwenye ujenziโ€ฆ
si kwa sababu hawana fedha,
bali kwa sababu ya MAKOSA MADOGO wanayoyapuuza mwanzoni! ๐Ÿ˜ณ
โš ๏ธ Kabla hujaanza kujenga, hakikisha huepuki haya:
โŒ 1. Kuanza bila ramani (Drawings)
Ujenzi bila michoro sahihi = hatari + gharama za marekebisho baadaye.
โŒ 2. Kukosa bajeti kamili ya ujenzi
โ€œNitaanza halafu itaongezeka polepoleโ€ โ†’ Hii ndiyo chanzo cha kusimama katikati ya ujenzi.
โŒ 3. Kuchagua mafundi bila uhakika
Fundi asiye na uzoefu = kazi kurudiwa + hasara mara mbili.
โŒ 4. Kununua vifaa kwa bei rahisi tu
Bei ya chini bila ubora = nyumba kudhoofika mapema.
โŒ 5. Kukosa msimamizi wa ujenzi (site supervision)
Bila usimamizi, makosa mengi hutokea bila wewe kujua.
๐Ÿ’ก USHAURI WA DHAHABU:
โœ” Anza na mpango (design + budget)
โœ” Tumia wataalamu sahihi
โœ” Simamia kila hatua
โœ” Usikimbilie bei nafuu โ€” chagua ubora
๐ŸŽฏ UKWELI MKUBWA:
Ujenzi si kubahatishaโ€ฆ ni mipango + taaluma + usimamizi sahihi.
๐Ÿ“ž UNATAKA KUJENGA BILA HASARA?
BoreshaUjenzi tunakuunganisha na mafundi bora + ushauri wa kitaalamu wa ujenzi.
๐Ÿ“ฒ WhatsApp: 0752 925 260
๐Ÿ‘‰ wa.me//255752925260

USIJE KULIA BAADAYE! ๐Ÿ โš ๏ธKujenga nyumba ni uwekezaji wa maisha yote, lakini kosa moja dogo linaweza kugeuza ndoto yako ku...
22/04/2026

USIJE KULIA BAADAYE! ๐Ÿ โš ๏ธ
Kujenga nyumba ni uwekezaji wa maisha yote, lakini kosa moja dogo linaweza kugeuza ndoto yako kuwa janga la kifedha. Watu wengi hupoteza mamilioni kwa sababu ya kutaka "njia za mkato" au kukwepa gharama za wataalamu.
Hapa kuna mambo 5 yanayowafilisi wajenzi wengi:
Msingi Mbaya: Ukikosea hapa, nyumba nzima haina usalama. Nyufa zitaanza kutokea mapema sana.
Vipimo Visivyosahihi: Kuta zilizopinda au vyumba visivyo na uwiano huleta gharama kubwa za marekebisho (finishing).
Vifaa Duni: Nunua simenti na nondo feki leo, uje ulipe mara mbili kesho kufanya ukarabati.
Upimaji Hasi: Bila kujua mwinuko wa ardhi, maji ya mvua yataingia ndani ya nyumba yako kirahisi.
Mafundi Wasiohitimu: "Fundi Maandazi" atakupa bei nafuu mwanzoni, lakini atakuharibia vifaa na kupoteza muda wako.
BoreshaUjenzi tupo hapa kuhakikisha unajenga kwa ubora, usalama, na bila hasara. ๐Ÿ‘ท๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ—๏ธ
๐Ÿ“ž WhatsApp: https://wa.me/255752925260
๐Ÿ“ฒ Follow us:

29/09/2025

Address

Dodoma

Telephone

+255752925260

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Boresha Ujenzi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Boresha Ujenzi:

Share