25/03/2026
Kuwa wakala Leo. Tengeneza kipato chako. Miliki mtambo wa taa za kukodisha kutoka RUMO Energy.
Je wewe ni mjasiliamali fursa ni hii. lipia kidogo kidogo mpaka utakapomaliza. 0655513540
RUMO Energy ni shirika linalo wawezesha wananchi vijijini Tanzania kumiliki Taa & Majiko ya Sola.
Nenda kwa wakala wa RUMO Energy, jisajiri kuwa Mwanachama wa Nishati Mbadala ili uweze kutumia na kumiliki Taa na Majiko ya Sola.