Sisi ni watalamu bobezi katika mfumo ya majitaka yani (Biodigester)popote Tanzania tunakufikia��
10/05/2025
Tunajenga makaro ya choo ya kisasa yasio jaa kipindi chote cha matumizi
Mfumo huu hutumia eneo/dogo sana na tunajenga kulingana na wingi wa watumiaji
Mfano
>shureni
>misikitini
>makanisani
>Hotel
>Appertment na nyumba za makazi ya kawaida
Faida ya biodigester septic tank
>haujai haunyonywi
>Hautoi harufu
>hutumia eneo ndogo sana
>ni rafiki na mazingila
>Haizuii kuweka picking ston blocks and garden
>Hufanya vyema hata kwenye chemi chemi
Be the first to know and let us send you an email when yusuph_ septic _tank posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.