MrSolarGrid

MrSolarGrid tunashughulika na kufunga umeme wa Solar katika ubora wa hali yajuuu kabisa. karibuni sana world wide

Solar panel chache na unapata umeme wa uhakika!.Zigatia  huu mtambo unaitwa Microinverter ndio utakamilisha malengo yako...
13/08/2024

Solar panel chache na unapata umeme wa uhakika!.
Zigatia huu mtambo unaitwa Microinverter ndio utakamilisha malengo yako

Iwe kwa mtu anaesafiri kwenda kijijini basi system yako itawakuwa rahisi popote pale ukifika ni kupata umeme tuu.

tembelea account yetu ya MrSolarGrid kwenye mtandao wa X auzamani ukijulikana k**a Twitter kwaajili ya kwenda kujua haswa ni MICROINVERTER ni mtambo gani huo.
usisahau kutu-follow na ku-like

Je! wajua kuwa solar power system yaweza kuwa moja ya project inayo ongeza thamani ya miadi yako?kiuhalisia uwekezaji wo...
28/07/2024

Je! wajua kuwa solar power system yaweza kuwa moja ya project inayo ongeza thamani ya miadi yako?
kiuhalisia uwekezaji wowote bila kuwa na umeme thamani yake hushuka mara dufu na hata uzalishaji huporomoka au kushindikana kabisa.

Hii ni project ya kuzalisha umeme mkubwa wa three phase { 3phase } ambao unaweza endesha mitambo mikubwa ya viwanda vya kati.

Solar panels PV 550w 22pcs
Hybrid all-in-one high frequency inverter 12kw 3phase output L1, L2, L3.

karibu utoe mahitajio yako tufanyie kazi kwa maana ya sizing na uweze kupata umeme wa uhakika kwa mahitaji ya nyumbani na kibiashara kwenye site zako

hello.............................!!!!!!!!!!!!!!!je unahita ku-Monitor online solar project yako? yani kuweza ku-view kw...
01/06/2024

hello.............................!!!!!!!!!!!!!!!
je unahita ku-Monitor online solar project yako?
yani kuweza ku-view kwenye smartphone yako?

basi solution imepatikana chakufanya wasiliana nasi uweze kutimiza ndoto yako.

Solar Project ingine imekamilika katika kiwango kikubwa kabisa nahivi sasa mteja anafurahia huduma hii kwa 100% anapata ...
28/03/2024

Solar Project ingine imekamilika katika kiwango kikubwa kabisa nahivi sasa mteja anafurahia huduma hii kwa 100% anapata umeme 24/7

PV 550w 27pcs Jinko Solar - Sub Saharan Africa JinkoSolar Co., Ltd brand
Mount stracture WOCHN Solar Mounting .
Lithium Battery 5K3 XP 4pcs Weco Batteries
Inverter 12kw 3phase Deye Inverter

karibu tukusikilize nawewe mahitaji yako tukuhudumie

Project imekamilika Ni ufungaji wa taa za umeme jua zinazo jiwasha usiku na kujizima jua linapo chomoza. Yani Solar stre...
26/09/2023

Project imekamilika
Ni ufungaji wa taa za umeme jua zinazo jiwasha usiku na kujizima jua linapo chomoza. Yani Solar streetlight.

Karibu sana utupatie mahitaji yako ili tuweze kuyawajibikia kikamilifu.

Kukosa umeme ni hiyari yako tuuu.     Karibu kwa mahitaji yako ya kumiliki umeme wa uhakika
28/08/2023

Kukosa umeme ni hiyari yako tuuu.



Karibu kwa mahitaji yako ya kumiliki umeme wa uhakika

Karibu kwenye mjadala unaohusu Solar energy katika maswala mazima ya [ ipi battery bora  ya solar itakayo kufaa kwa matu...
27/08/2023

Karibu kwenye mjadala unaohusu Solar energy katika maswala mazima ya [ ipi battery bora ya solar itakayo kufaa kwa matumizi yako ], lakini pia tutajadili nivipi yatakikana utunze battery yako ili iweze kuishi maisha marefu.

Chakufanya Nenda Twitter/X au sikuhizi inaitwa X tafuta jina letu la MrSolarGrid kisha tu-follow na gonga alama ya kengele ili usije ukapitwa na mjadala huo..

Project imekamilika tayari kwa matumizi.Clean energy  Safe energy MrSolarGrid   sisi tuko na ninyi mpaka ipatikane kwenu...
31/05/2023

Project imekamilika tayari kwa matumizi.
Clean energy Safe energy
MrSolarGrid sisi tuko na ninyi mpaka ipatikane kwenu nishati safi na salama kwa afya na rafiki kwa mazingira tunayo yaishi

Karibuni sana.
Hii ni 5 Kilowatts all in one inverter

Solar projectPower capacity of PV is 12kilowatts.Inverter, all in one hybrid inverterProject imeendelea kuboreshwa
09/09/2022

Solar project
Power capacity of PV is 12kilowatts.
Inverter, all in one hybrid inverter
Project imeendelea kuboreshwa

Solar Power.Project imekamilika Karibu sana kwenye Ulimwengu wa renewable energy.Kabla haujawaza kununua Generator yakuz...
07/07/2022

Solar Power.
Project imekamilika

Karibu sana kwenye Ulimwengu wa renewable energy.
Kabla haujawaza kununua Generator yakuzalisha umeme kwakutumia mafuta basi hebu ongea nasisi tukupatie njia bora yakupata umeme Kwa gharama nafuu na isiyo endelevu.
Wajua ukishafunga solar hamna tena gharama yakusema bili inakufata.

MrSolarGrid tupo kwa ajili yako.
Na tupo karibu yako.

MultiPlus 3Kw   hybrid inverterMaandalizi yakuanza installation.Kwanini utegemee umeme ambao huna uhakika nao....!? Usha...
03/02/2022

MultiPlus 3Kw hybrid inverter
Maandalizi yakuanza installation.
Kwanini utegemee umeme ambao huna uhakika nao....!? Ushauri wetu tupigie tukufungie mifumo imara ya kukupatia umeme wa uhakika ili usihangaike tena na kukatika Kwa umeme.

Address

Geita
30101

Telephone

+255782435626

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MrSolarGrid posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MrSolarGrid:

Share