Mzigwa Mining Investment

Mzigwa Mining Investment Mzigwa Mining Investment is a local company which deals with all kind of industrial minerals like CO

11/03/2018

This is MZIGWA !
Dealers of industrial minerals in Tanzania
we offering new product of minerals which has never offered by anything else before us in Tanga region
QUARTZ of standard quality with affordable price

31/05/2017

A new day has come and it was waiting for you to make sure you work on it perfect..........

23/05/2017

Kampuni ya MZIGWA MINING INVESTMENT inayo furaha kubwa kabisa kuwatakia waislamu wote Duniani mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani,

''RAMADHAN KARIIM TO ALL OVER THE WORLD''

Mwenyezi Mungu (S.W) anaposema kuwa tumeifanya ardhi kuwa yenye wasaa (nafasi) alikusudia kuwa kila kitu kinachomhusu mw...
15/05/2017

Mwenyezi Mungu (S.W) anaposema kuwa tumeifanya ardhi kuwa yenye wasaa (nafasi) alikusudia kuwa kila kitu kinachomhusu mwanadamu lazima kipatikane katika ardhi na wala si sehemu nyingine unapolitafsiri neno wasaa katika vitendo ndipo utagundua kusudio la MUNGU kwa viumbe wake na laiti k**a binadamu wote tungekuwa tunatumia muda wetu mchache kutafakari maneno ya MUNGU basi tungekuwa na maisha bora zaidi ambayo yasingehitaji matumizi ya nguvu zaidi k**a tunavyozitumia sasa.Tazama mfano huu gramu moja ya DHAHABU inauzwa kati ya shilingi 70,000-100,000 kwa hivyo gramu 5 au 10 ni kiasi kidogo sana katika uzito lakini kina thamani kubwa sana katika fedha. Lau k**a tungepata watu wanaotafakari mambo ya MUNGU kwa kina viongozi wetu wangeweka nguvu kubwa zaidi katika sekta ya madini kuliko kitu kingine chochote kile na raia wangeishi maisha yaliyo bora kabisa nathubutu kusema hivi kwa sababu ya thamani ya madini kulinganisha na vitu vingine.
ukiangalia ramani ya kijiolojia ya Tanzania inaonesha uwepo wa madini kwa kiasi kikubwa na hata ukienda katika takwimu za kimataifa kwa mfano Tanzania inashika nafasi ya tatu kwa uzalishaji wa DHAHABU kwa Afrika nzima baada ya SOUTH AFRICA na GHANA ambazo ziko vizuri kiuchumi kutokana na sekta ya madini.
Kwa kuliona hili sisi MZIGWA MINING INVESTMENT tumemua kulifanyia kazi na tunategemea kuiendeleza sekta ya madini ambayo yalikuwa hayafahamiki kuwa ni madini na watu wengi kwa mfano madini ya FELDSPAR ndio yameingia rasmi sokoni na kabla ya hapo yalikuwa yakiuzwa kwa kiasi kidogo sana. Tunawakaribisha wadau wengine ambao wako tayari kuwekeza kwenye sekta ya madini waje tushirikiane nao sisi tayari tunao ujuzi wa madini tofauti tofauti na tunaendelea na tafiti mbalimbali kwani madini yaliyopo Tanzania ni mengi sana na bado hayajafanyiwa kazi.

02/05/2017

we are about to enter to the second phase of production you are welcome to start together in this phase.

20/04/2017

We have the whole access on these minerals which are currently in needy, if you think you have the need of these minerals such as QUARTZ, KAOLIN, SOAP STONE, FELDSPAR, DOLOMITE, MAGNESITE, IRON ORE and the like never miss to find us for more details we are the one who are much experienced company in industrial minerals.

08/04/2017

something never be nothing but nothing can never be something.

did you know that everything you see or use made up from minerals? whether metal, non metal or whatever else............................................................................................................................................................................................................................................................................

11/03/2017

Habari njema kwa wadau wa madini kampuni yetu inakaribisha wale wote ambao wanatafuta madini ya feldspar kuwasiliana nasi haraka iwezekanavyo kwani tunazo sehemu nyingi za kuchimba madini hayo kwa gharama nafuu sana.

01/01/2017

we were busy in searching various minerals apart from those we have already the good news is that we have large quantity of FELDSPAR which is among the important minerals used in TILES MAKING thus if you think you can use that opportunity contact us as soon as possible for more details.

18/09/2016

Kwa mahitaji ya madini aina yoyote ya viwandani yanapatikana katika kampuni yetu bei zetu ni nafuu sana pia k**a kuna madini unayahitaji ambayo hayatumiki viwandani usisite kuwasiliana nasi.

14/09/2016

kampuni ya Mzigwa Mining Investment inatoa pole kwa wale wote ambao wameathirika na tetemeko la ardhi ambalo limesababisha maafa makubwa kwa mtu mmoja mmoja familia,mkoa na taifa kwa ujumla, hiyo ni mipango ya mungu na yeye pekee ndiye anayeweza kufanya kile anachotaka na hakuna wa kumzuiya, walioathirika wawe na subira na wale waliopoteza maisha mwenyezi mungu awaweke pahala panapostahili.

12/09/2016

we wishing you all the best in this day of EID AL-ADHHA

Address

KABUKU-HANDENI-TANGA
Handeni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mzigwa Mining Investment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category