15/03/2022
WARUMI 2:20-24 up to 27
Wewe umfundishae mwingine,Je! Hujifundishi mwenyewe,? Wewe uhubilie kwamba mtu asiibe,waiba mwenyewe? Wewe, usemae kwamba mtu asizini wazini mwenyewe? Wewe uchukiae sanamu, wateka mahekalu? Wewe ujisifuye katika torati wamvunjia MUNGU heshima kwa kuihasi torati ?Kwa maana jina La MUNGU latukanwa katika mataifa kwa ajili yenu k**a ilivyo andikwa.