27/12/2025
Ndugu wateja โ hapa tumeeleza kwa ufupi nini hasa kinajumuishwa kwenye gharama zetu za ujenzi.
Kwa Aba Ujenzi Ltd, gharama yako inahusu mchakato mzima โ kuanzia msingi hadi kumalizia โ chini ya usimamizi wa kitaalamu, ubora wa viwango na usalama wa kudumu.
Tunajenga kwa mpangilio, kwa uwazi, na bila kuacha hatua muhimu zinazohakikisha uimara wa jengo lako kwa miaka mingi ijayo.
โธป
MUHTASARI WA KAZI ZINAZOHUSIKA
โข Preliminaries & Foundation Works (Hatua za awali & Msingi)
โข Frame Work (Muundo wa Jengo)
โข Walling (Ujenzi wa kuta)
โข Staircases & Balustrades (Ngazi)
โข Roof Structuring & Covering (Uezekaji wa paa)
โข Doors & Windows Installation (Ufungaji wa Madirisha na Milango)
โข Electrical Installation (Mifumo ya umeme)
โข Plumbing Installation (Mifumo ya maji safi na Taka)
โข Finishing Works (Plastering, Skimming, Tiles, Ceiling works,painting )