03/01/2026
Huu ni mwaka wa kutumia AI na Automation ufaidike, naanza kutoa elimu bure ya AI na Automation kwa matumizi binafsi na kibiashara kupitia youtube account mda si mrefu, nenda ka subscribe mapema usipitwe na kinachokuja, iwe ni generative AI (kutengeneza na kubadilisha picha kuwa mwonekano uupendao - kiofisi au madhari uyatakayo kirahisi, kutengeneza mziki wako upendao, kutengeneza video za matangazo, n.k) Automation - kuwezesha baadhi ya mambo yako yajiendeshe yenyewe kila siku bila wewe kuyaendesha, k**a una business pia kuna mambo mazuri yanakuja ya AI ethics na Privacy n.k
Nenda kwenye hii link subscribe kuwa tayari https://youtube.com/?si=_v8vyji60MSJTk56
AI, LLM, Generative AI, Tech news