12/08/2026
SEMINA YA MAFUNDI BUGURUNI, DAR ES SALAAM
Karibu katika mafunzo ya bidhaa kwa mafundi Ujenzi, Rangi, Finishing na Decoration kwa ajili ya kudhibiti maji kwenye jengo, kutibu chumvi au magadi na kugundisha/kuziba vitu mbalimbali.
Siku: Alhamisi
Tarehe: 13 Agosti 2026
Mahali: Lekami Social Hall, Buguruni - Dar Es Salaam
Muda: Saa 2 kamili asubuhi
Kwa maelezo zaidi piga namba: +255 759 415 415 /+255 742 046 822