04/03/2021
Umekuwa ukiishiwa nguvu mwilini ?
Au Unahitaji kuimalisha mifupa na meno ?
Au unataka kuzuia Saratani kabla haijakufika ?
Au unataka kupunguza uzito mwilini ?
Au Choo chako kimegandiana kwenye tumbo na hupati choo na hata ukipata ni kiduchu sana ?
Au unataka kuukimbia uzee mapema ?
Au Unataka kuziamsha kwa kuzipa nguvu kinga zako za mwili ?
Au unataka kuzikuza nywele ?
Au unataka ulinde ini lako na sumu zaidi ya mia moja sabini na mbili (172)?
Au mfumo wako wa chakula haupo sawa sawa?
Au unataka mwili uwendeshe kwa usahihi utoaji wa acid mwilini ?
Yes Yes Jibu ni moja tu juice ya miwa inaweza kukujibu maswali yako yote ambayo umekuwa ukiyatafuta kwa mda mrefu, Yapo madini na vitamin za kutosha kwa kikombe kimoja cha juice hiyo k**a vile :-
i)zinc,
ii)phosphorous,
iv)vitamin A,
v)Vitamin B,
vi)Vitamin C
vii)Vitamin B complex,
viii)Carbohydrates-27.51 g,
ix)Protein-0.27 g,
x)Calcium11.23 mg (1%)
xi)Iron 0.37 mg (3%)
xii)Potassium41.96 mg (1%)
xiii)Sodium17.01 mg (1%).
***Zingatia hili :-***
Juice nzuri ya miwa inatakiwa kuwa na viungo k**a vile ,
1- Limao au ndimu na
2-Tangawizi,
Licha kuwa juice ya miwa ina faida tele mwilini zipo athali chache kwa watu wenye Allergy na miwa baadhi ya watumiaji wanaweza kupatwa na hiyo Allergy k**a vile :-
-Kizungu zungu .
-Kukosa usingizi.
-Kupungukiwa uzito isivyo kawaida.
Kawaida yangu huwa nafundisha Bure na wewe jikune kwa kushare na wengine.🤣