12/08/2026
MWANZA, TUMEWAFIKIA!
Tumekuletea gesi ya TotalEnergies mtaani kwako.
📍 Kuanzia tarehe 12–19 Agosti 2026, tutakuwa tukipita katika maeneo mbalimbali ya Mwanza. Angalia ratiba yetu na ujue tutakuwa wapi na lini.
📞 Kuagiza piga simu bure: 0800 750 242
Pika kwa gesi, boresha maisha! 🔥