15/01/2026
βͺ DESIGN YA KANISA KATOLIKI βοΈ
Usanifu wa Kanisa Katoliki huzingatia ibada, heshima ya Mungu na urahisi wa waumini. Kila sehemu ina maana ya kiimani na kichungaji.
πΉ Altare na Tabernakulo
πΉ Msalaba na Sanamu
πΉ Madhabahu ya Neno (Ambo)
πΉ Mpangilio mzuri wa viti
πΉ Mwanga, sauti na rangi tulivu
β¨ Design bora huimarisha sala, umoja na utulivu wa kiroho.
π Mawasiliano: 0779 892 454