Mnyambegu Engineering Company

Mnyambegu Engineering Company Dealing with:
1. Road and Building Construction
2. Irrigation
3. Water Resource
4. Electricity

01/03/2025
03/02/2025

✏️Tujifunze pamoja mambo mbali mbali yanayohusiana na kilimo cha umwagiliaji.

🖋️Pata fursa ya kuuliza maswali na kupata majibu ya kitaalamu kuhusian na kilimo cha umwagiliaji.

➡️Jiunge katika group la kilimo cha umwagiliaji, ili uweze kupata elimu sahihi ya kilimo cha umwagiliaji.

✔️ *AGRICULTURE & IRRIGATION*
https://chat.whatsapp.com/HVCzgLLVkTO0bUSlvcQ18H

➡️Pia unaweza kujiunga na channel ya kilimo cha umwagiliaji

✔️ *MODERN IRRIGATION*
https://whatsapp.com/channel/0029Vb4QSXMJP211EiaJTr3z

WATER PUMP DESIGNING AND INSTALLATION
31/01/2025

WATER PUMP DESIGNING AND INSTALLATION

09/01/2025

GARDEN SPRINKLERS,
1. Inarauisisha umwagiliaji wa bustan
2. Uhakika wa kufikisha maji maeneo yote yatakayokusudiwa.

05/01/2025
Karibu tukushauri pump gani itakuwa bora kwa ajili ya kazi yako, ili usije ukafeli kweny OPERATION ya mfumo wako wa waji...
28/12/2024

Karibu tukushauri pump gani itakuwa bora kwa ajili ya kazi yako, ili usije ukafeli kweny OPERATION ya mfumo wako wa waji au umwagiliaji

Tupo kwa ajili ya kukusaidia wewe mkulima utumie gharama nafuu katika kuhakikisha unapata mfumo bora wa umwagiliaji utak...
23/12/2024

Tupo kwa ajili ya kukusaidia wewe mkulima utumie gharama nafuu katika kuhakikisha unapata mfumo bora wa umwagiliaji utakaokupa matokeo mazuri katika kuendesha miradi yako ya kilimo.

Karibuni sana.
+255 657 085 984

Kabla hujakwenda kwenye kufahamu gharama za kuweka mfumo wa umwagiliaji ni muhimu sana kupata DESIGN ya mfumo wa umwagil...
18/12/2024

Kabla hujakwenda kwenye kufahamu gharama za kuweka mfumo wa umwagiliaji ni muhimu sana kupata DESIGN ya mfumo wa umwagiliaji utakaofaa kweny shamba lako na utambue
1. Mahitaji halisi ya maji kwa mradi wako.

2. Namna mfumo utakavyofanya kazi k**a vile: (a) ni kwa muda gani utamaliza kumwagilia shamba lote (b) Kutakuwa na vioande vingapi shambani, na kwa wkati mmoja utaweza kufanya kazi na vipande vingapi (c) Maji kiasi gani yatakuwa yanapatikana kwa muda unaotaka kumwagilia iwe kwa dakika au kwa saa.

3. Aina ya bomba na ukubwa wa bomba zitakazotumika pamoja na viungio vyake katika mradi wako.

4. (a) Kwa mfumo wa umwagilia wa matone (Drip Irrigation) Ufahamu namna gani dripline zitalazwa shambani, katika nafasi ya umbali gani kati ya mstari na mstari na nafasi kati ya tundu moja na nyingine
(b) Kwa mfumo wa SPRINKLER ufahamu sprinkler zitakaa katika umbali gani.

Mnyambegu Engineering Company Limited Tunakufanyia design ya mfumo kulingana na mahitaji yako, pamoja na kutengeneza mifumo yote ya umwagiliaji kwa gharama nafuu kabisa, katika ubora wa hali ya juu.

USHAURI NI BURE.

Address

Mlandizi
0000

Telephone

+255682705184

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mnyambegu Engineering Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mnyambegu Engineering Company:

Share