19/05/2025
Mkuu wa chuo cha Morogoro Utalii College(MUC) anapenda kuwatangazia wanafunzi wote waliomaliza kidato cha nne na kuendelea kujiunga na moja ya course kwa mwaka wa masomo 2025/2026 k**a ilivyoainishwa hapa chini,
1.International Hotel Management
2.Tourism and Tourguiding Operation
3.Secreterial Course
4.IT
5.Nusury Teaching(Ualimu wa watoto wadogo)
6.Electrical Installation
7.Computer Application
For More information Please Contact us 0757 475 189/0672117444.