LAINO KING Technology

LAINO KING Technology LAINO KING Technology deals with:-
✓Web Designing
✓Computer Networking
✓Software based on Application
✓Logo Designing
✓Computer Application

23/05/2023

hello, kwa mahirtaji ya poster, banners, logos na graphics design yoyote. karibu Laino King Technology tukuhudumie.

Fahamu teknolojia ya kutumia laini isiyoonekana kwa macho wala isiyoingizwa kwenye simu yako inayojulikana kwa jina la  ...
08/04/2023

Fahamu teknolojia ya kutumia laini isiyoonekana kwa macho wala isiyoingizwa kwenye simu yako inayojulikana kwa jina la (embedded Subscribers Identity Module).

ESIM (iliyopachikwa-SIM) ni aina ya SIM kadi ambayo imepachikwa moja kwa moja kwenye kifaa. Badala ya saketi iliyounganishwa iliyo kwenye SIM kadi inayoweza kutolewa, ambayo kwa kawaida hutengenezwa kwa PVC, eSIM inajumuisha programu iliyosakinishwa kwenye chipu ya eUICC iliyoambatishwa kabisa kwenye kifaa. Ikiwa eSIM inaoana na eUICC, inaweza kupangwa upya kwa maelezo mapya ya SIM. Vinginevyo, eSIM imeratibiwa na ICCID/IMSI yake na maelezo mengine wakati inapotengenezwa, na haiwezi kubadilishwa. Wasifu wa mtoa huduma wa eSIM unaposakinishwa kwenye eUICC, hufanya kazi sawa na SIM halisi, iliyo na ICCID ya kipekee na ufunguo wa uthibitishaji wa mtandao unaozalishwa na mtoa huduma. Kiwango cha eSIM kilitolewa kwa mara ya kwanza mwaka wa 2016; tangu wakati huo, eSIM imeanza kuchukua nafasi ya SIM halisi katika vikoa ikijumuisha simu za rununu.

Laino King Technology QR Code
08/04/2023

Laino King Technology QR Code

Microsoft imetangaza kuwa Februari 14, 2023 itakifuta rasmi kivinjari cha Internet Explorer kutoka katika kompyuta za wa...
19/12/2022

Microsoft imetangaza kuwa Februari 14, 2023 itakifuta rasmi kivinjari cha Internet Explorer kutoka katika kompyuta za watumiaji duniani kote.

Kampuni ya kiteknolojia ya Microsoft kwa awamu imekuwa ikiiondoa sokoni bidhaa yake ya Internet Explorer 11 tangu Juni 15 mwaka huu huku programu hiyo ikiwa imedumu kwa takribani miaka 30 sasa.

Sasa ni rasmi kuwa Februari 14 ambayo hutambulika k**a siku ya wapendanao itakuwa ndio mwisho wa kivinjari hicho.

Watumiaji wa kivinjari hicho wataona maboresho ya Microsoft Edge ambayo ndiyo yatakayokifuta kabisa kivinjari hicho katika baadhi ya vifaa vya Windows 10

Kampuni ya Microsoft imeandika tangazo kupitia ukurasa wake lililosomeka kuwa “Programu ya kompyuta ya Internet Explorer 11 (IE11) imepangwa kuzimwa kabisa kwenye baadhi ya matoleo ya vifaa windows 10 mnamo Februari 14, 2023, kupitia maboresho ya Microsoft Edge.”

Kwa mahitaji ya graphics design karibu LAINO KING Technology kwa huduma safi na zenye ubora.Wasiliana nasi kupitia✉️ inf...
15/12/2022

Kwa mahitaji ya graphics design karibu LAINO KING Technology kwa huduma safi na zenye ubora.

Wasiliana nasi kupitia
✉️ [email protected]
🤳 0766499842

This is how hackers attacks the system or network
28/02/2021

This is how hackers attacks the system or network

06/10/2020
06/10/2020
Kabla ya kushare chochote mtandaoni hakikisha umezingatia haya yafuatayo
01/10/2020

Kabla ya kushare chochote mtandaoni hakikisha umezingatia haya yafuatayo

Address

Kihonda
Morogoro

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Telephone

+255766499842

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LAINO KING Technology posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to LAINO KING Technology:

Share