Mark Point Limited

Mark Point Limited ๐Ÿ“ Expert Aluminum and metal fabrication.
โ˜Ž๏ธ0656 628371
โ˜Ž๏ธ0652 187098
Morogoro -Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
๐Ÿ‘‰Tupo barabara ya chuo kikuu cha kilimo Sokoine (SUA). Welcome all. ๐Ÿ™

Morogoro -Tanzania. Aluminum & Welding service.

26/07/2026

๐Ÿ“Huu ni mlango imara wa chuma wenye hadhi ya nyumba yako โœ…
๐ŸšซAngalizo/Tahadhari mlango huu sio mbao, au ubao wa MDF (MDF BOARD) na pia sio mabati. Ni mlango mzuri wa chuma imara sana wenye kufanana pande zote mbili mbele na nyuma. ๐Ÿšช
๐Ÿ‘‰ Tupo barabara ya chuo kikuu cha kilimo Sokoine (SUA) Morogoro -Tanzania.
๐Ÿ‘‰Tunapokea oda popote Tanzania na nje ya Nchi.
Mawasiliano:-
๐Ÿ“ž+255 656 628 371.
๐Ÿ“ž+255 652 187 098.
๐Ÿ‘‰Piga simu sasa kupata ofa hivi muhimu ๐Ÿ“Ž






19/07/2026








Kazi hizi imefanyika Dodoma. โœ…โœ…โœ…
๐Ÿ“ Karibuni kwa kuweka oda katika Kiwanda chetu kipo bara bara ya Chuo kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA)
โ˜Ž๏ธ +255 656 628 371
โ˜Ž๏ธ+255 0652 187 098
Morogoro -Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

01/07/2026






๐Ÿ“Hili ni kabati la nguo la kisasa kabisa aina ya Aluminium, Faida ya hili kabati haiozi na maji maji na haipati unyevunyevu hata k**a nguo hazijakauka vizuri.
๐Ÿšซ KABATI HILI SIO MBAO AU MDF BODI
Tupo bara bara ya chuo kikuu cha kilimo Sokoine (SUA)
โ˜Ž๏ธ 0656 628371
โ˜Ž๏ธ 0652 187098
Morogoro -Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

18/06/2026









Tupo bara bara ya chuo kikuu cha kilimo Sokoine (SUA)
โ˜Ž๏ธ0656 628371
โ˜Ž๏ธ0652 187098
Morogoro -Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

06/06/2026






Mlango huu unafanana nje ndani muundo wote ni vyuma, Sio mabati .
Karibu sana. Tunapokea order ndani na nje Nchi
Karibuni sana.
Kiwanda kipo barabara ya chuo kikuu cha kilimo Sokoine Morogoro (Sua)
โ˜Ž๏ธ0656 628372
โ˜Ž๏ธ0652 187098
Morogoro Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

08/05/2026







Hii ni kwa wale wanaopenda kumiliki vitu vizuri wakati ndiyo huu sasa kwa mahitaji ya bidhaa mbalimbali k**a :-

๐Ÿ‘‰ Milango mizuri na imara ya Chuma ๐Ÿ‘‰ Madirisha ya Aluminium
๐Ÿ‘‰Makabati ya Jikoni
๐Ÿ‘‰Balcony
๐Ÿ‘‰Sky Glass Tempered Laminated
Pergola
๐Ÿ‘‰ Car Parking Shades
๐Ÿ‘‰ Madirisha ya Grill
๐Ÿ‘‰ Mageti ya Chuma yanayotumia
Mota
๐Ÿ‘‰ Bambea za aina Mbalimbali
๐Ÿ‘‰ Furnitures za Chuma

Fika leo kiwandani kwetu uone bidhaa zilizopo showroom na uweke order yako mapema.

Kwa mawasiliano zaidi tupige kwa namba zifuatazo

โ˜Ž๏ธ 0656 628 371
0652 187 098

Tunapatikana Morogoro mjini barabara ya kuelekea chuo kikuu cha kilimo Sokoine University of Agriculture (SUA)

Karibu sana.

27/04/2026







K**a unapenda bidhaa nzuri na imara epuka vishoka na matapeli. Fika leo kiwandani kwetu ujionee bidhaa nzuri na imara au wasiliana nasi kwa namba mbili zilizopo hapo chini.

โ˜Ž๏ธ 0656 628 371
0652 187 098

Tunapatikana Morogoro mjini barabara ya kuelekea chuo kikuu cha kilimo SUA.

23/03/2026







Siyo kila mlango wa chuma ni security door, ili kujua security door ipoje karibu kiwandani kwetu ujionee mwenyewe maana ya security door na uweke order yako mapema.

Tunapatikana Morogoro mjini barabara ya kuelekea chuo kikuu cha kilimo SUA.

โ˜Ž๏ธ 0656 628 371
0652 187 098

06/03/2026








Kuwa wa kipekee na Spiral Staircase za kisasa uweze kupendezesha nyumba yako au jengo lako la biashara, muda ndiyo huu usisubiri kuona kwa wenzio fika leo kiwandani kwetu uweke oda yako mapema.

Tunapatikana Morogoro mjini barabara ya kuelekea chuo kikuu cha kilimo SUA.

โ˜Ž๏ธ 0656 628 371
0652 187 098

Address

Mark Point Limited
Morogoro
67101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mark Point Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share