Matofali Ya Tope Ya Kuchoma

Matofali Ya Tope Ya Kuchoma Tofali ya kuchoma ni tofali inayo dumu kwa mda mrefu,ni bora pia ni imara. Jenga na tofali ya kuchoma ili kuepuka matatizo ya kleki na majanga mengi kam hayo.

05/03/2024
24/08/2023
24/08/2023

Habari ndugu jamaa na marafiki mnaonifatilia kupitia page hii ya otis mud bricks burned industry.tunayo furahaa kuwatangazia kua pia tunatoa huduma ya ARC WELING SERVICES.
KWA sasa tutakua tukipost huduma tunazotoa.
Kwa mawasiliano zaidi namba zetu ni zile zile.
+255653185361

Tofali ya kuchoma ni tofali inayo dumu kwa mda mrefu,ni bora pia ni imara.
Jenga na tofali ya kuchoma ili kuepuka matatizo ya kleki na majanga mengi kam hayo.

This time we just dealing with different orders.You are very welcome to give us your order.
13/08/2022

This time we just dealing with different orders.
You are very welcome to give us your order.

04/05/2022

Hello!!!
Kiwanda chetu kinatoa huduma mpya ya ARC WELDING SERVICES.
Ewe ndugu jamaa rafiki mtanzania mwenzetu karibu Sana.
imara mwonekano thabiti.

Kikao kilichopamba moto katika Kijiji Cha bwawani katika bwawa la KIHONDA Wilaya ya MVOMERO ,Nia na madhumuni ni katika ...
04/11/2021

Kikao kilichopamba moto katika Kijiji Cha bwawani katika bwawa la KIHONDA Wilaya ya MVOMERO ,Nia na madhumuni ni katika kupanga MIKAKATI iliyo Bora na yenye tija Ili kuleta MAENDELEO yenye tija.
Miongoni mwa Agenda kuu zilizokua zikijadiliwa ni k**a :
WA KITUO CHA AFYA
WA KITUO CHA POLICE
WA SOKO LA BIASHARA
WA MAENEO KATIKA SEHEMU HUSIKA
WA UANZILISHI WA MNADA AU GULIO
NA MWENDELEZO WA UJENZI WA SHULE YA MSINGI BWAWANI.
WADAU WATAKAO SAIDIA KUCHIMBA VISIMA VYA MAJI VYA KINA KILEFU,Hii imetokana na changamoto ya huaba WA MAJI pamoja na kuchangia MAJI mifugo pamoja na binadamu SEHUMU MOJA. Yote haya yalijadiliwa na mengineyo mengi.

K**a jinsi unavyoona ,,kazi inaendelea ndugu mtazamaji.Ni katika hatua za uzalishaji,upangaji pamoja na uchomaji wa mato...
28/07/2021

K**a jinsi unavyoona ,,kazi inaendelea ndugu mtazamaji.
Ni katika hatua za uzalishaji,upangaji pamoja na uchomaji wa matofali.nichukue nafasi hii kukukaribisha kiwandani kwetu.
imara -Tofali ya kuchomwa.

Uzalishaji wa Matofali ya tope ya kuchoma bado unaendela, Pia niwakumbushe tu yakua tunapokea ODA kutoka kwa wateja kufy...
11/06/2020

Uzalishaji wa Matofali ya tope ya kuchoma bado unaendela, Pia niwakumbushe tu yakua tunapokea ODA kutoka kwa wateja kufyatuliwa matofali katika saiti zao.Wote mnakaribishwa.
nyumba Imara kwa tofali ya kuchoma.

Uzalishaji wa tofali ya tope ya kuchoma bado unaendelea, karibu sana nfugu mteja. Pia tunapokea oda mbali mbali za uzali...
11/06/2020

Uzalishaji wa tofali ya tope ya kuchoma bado unaendelea, karibu sana nfugu mteja. Pia tunapokea oda mbali mbali za uzalishaji wa tofali katika saiti za Wateja. nyumba imara kwa tofari ya kuchoma

Baada ya nyumba kupitiwa na Reli ya mwendo kasi. Unaweza kubomoa tofari ya kuchoma na kuitumia tena kwa ujenzi mwingine
09/12/2019

Baada ya nyumba kupitiwa na Reli ya mwendo kasi. Unaweza kubomoa tofari ya kuchoma na kuitumia tena kwa ujenzi mwingine

Ni baada ya kushusha bidhaa ya matofali kwa mteja wetu
26/10/2019

Ni baada ya kushusha bidhaa ya matofali kwa mteja wetu

Address

KIHONDA KWA CHAMBO/MOROGORO
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Matofali Ya Tope Ya Kuchoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Matofali Ya Tope Ya Kuchoma:

Share