Tiba asili kutana na mahalim salim

Tiba asili kutana na mahalim salim Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tiba asili kutana na mahalim salim, Biotechnology company, Morogoro.

15/04/2022

Asalam aleymkum walam tullai wabalakatu ndugu katika imani

LEO NAKUJA NA SOMO HILI LA PAKA MWEUSI NI ELIMU NILOJALIWA NA MUNGU NAMI SINA BUDI ZAIDI YA KUMSHUKU ALLAH NA MIMI NATOA...
10/11/2021

LEO NAKUJA NA SOMO HILI LA PAKA MWEUSI NI ELIMU NILOJALIWA NA MUNGU NAMI SINA BUDI ZAIDI YA KUMSHUKU ALLAH NA MIMI NATOA ELIMU BURE

ELIMU YA KIUMBE UYU PAKA MWEUSI NA MAUSIANO YAKE NA MWANADAMU


Jini akitumwa kwa mtu utumiwa zaidi paka mweusi au panya na utolewa ngozi yake ya mkiani manyoya yake na kuchorea majina ya ibirisi kisha utumwa kwa mtu akamwingie basi utajikuta unaumwa umwa tu bila sababu ukienda kupima ugonjwa auonekani alafu au utakuwa mwenye kuota ndoto k**a vile kufeli mitihani unalushiwa kitu unashindwa kudaka au kuachwa na gali kuota sana upo shuleni unafeli mitihani izo zote ni dalili za kutupiwa huchawi huo wa paka mweusi paka mweusi mifupa yake wachawi utumia katika kazi zao wasionekane paka mweusi akikupitia kushoto ni ishara ya bahati mbaya akikupitia kulia ni neema bahati nzuli paka mweusi akija nyumbani kwako usi mfukuze anaweza kuondoka na neema zote



inshallah

19/09/2021

njoo kwa mahalim salim upate tiba na ushauli wa tiba no ya mahalim 0717679725

ASALAM ALEYKUM                     LEO NAKUJA NA SOMO RA UNDONGO WA MBAAZI                   MAAJABU YA MTI WA MBAAZI   ...
15/09/2021

ASALAM ALEYKUM


LEO NAKUJA NA SOMO RA UNDONGO WA MBAAZI


MAAJABU YA MTI WA MBAAZI


Natoa faida ya mti wa mbaazi lakini una maajabu mengi hebu tuangalie udongo wa mbaazi
1)udongo wa mbaazi hutumika kuwapaka mizukule pindi wanapopelekwa kwe mashamba ili wasiweze kuonekana
2)udongo wa mbaazi hutumika kumwaga njia panda zinazo ingilia kijijini ili kuwapoteza watu wabaya wasiweze kuingia katika kijiji udongo huo huo
wa mbaazi hutumika kutengenezea chuma ulete mtu kupendwa na viumbe majini chukua majani ya mbaazi ya twange changanya na chumvi ya mawe na ukitaka kutumia mwaga katika nyumba yako au eneo la biashara yako na ukitaka kumk**ata mchawi vilevile majani ya mbaazi ukitafuna k**a una kesi mahak**ani utashinda pia majani yake ni mvuto mkubwa kwa wafanya biashara na wafanya kazi wote ndugu yangu katika imani fahamu kuwa mti huu una miujiza mikubwa sana lakini nimetoa faida chache ili watu wajue kwamba miti sio ya kuizalau

Asalam Aleykum                 LEO NATOA ELIMU NILIHOJAHALIWA NA MWENYENZI MUNGU MWINGI WA REHEMA NA MWENYE KUREHEM     ...
12/09/2021

Asalam Aleykum



LEO NATOA ELIMU NILIHOJAHALIWA NA MWENYENZI MUNGU MWINGI WA REHEMA NA MWENYE KUREHEM



kiboko ya chumaulete tafuta ua la mti wa mnyaa litwange upate unga wake weka kwenye pesa zako au kwenye mazao yako wakikujalibu kukubukulia pesa au mazao yao yanahamia kwako


FANYA KWA IMANI

na huu mti kiujumla unatiba nyingi na imejaa kwenye majumba ya watu wengi wakitizama k**a mau tu yasio kuwa na mpango


NAAM MAHALIM SALIM

12/09/2021

ASALAM ALEYKUM

LIMBWATA KWA KUTUMIA KITUNGUU MAJI NA SINDANO ndio somo letu leo kalibuni



Hii pia unaweza kutumia kwa kumvuta mtu kimapenzi ukiacha kumuinamisha ulie kua nae ndani


mahitaji

1]kitunguu maji [2]sindano andaa moto wako mkali chukua sindano choma icho kitunguu kisha kishike kwa kukining'iniza apo kwenye moto uku useme hivi


HUU NI MOYO WA FURANI NA HAPA NAUCHOMA MOYO WA FURANI UKO UKO ULIPO USILE USINYWE WALA USILALE NA KUFANYA JAMBO LOLOTE MUDA WOTE MOYO WAKO USHTUKE NA UNIWAZE MM TU MOYO WAKO UHISI MAUMIVU KWA KUA MBALI NA MIMI NA HUJE HARAKA

kisha kiache kwenye moto kiungue mana huo ni moto na hapo ndio utaona jeuli ya kitunguu maji kwenye elimu hii k**a alikuwa haeleweki zalau kuludi nyumbani kwa mitihani ama kwa kuchelewa au kapotea kabisa ata simu hakupigii hii ndio kiboko wake NB fanya kwa imani


NAAM MAHALIM SALIM

11/09/2021

ALMITI ni moja ya dawa zinazowakimbiza ma jini kwa ukali wake sababu inakera sana hii pia hutumika kuchoma na kufusha fushochafu kwa ajili ya kukimbiza majini wabaya na asili yake ni lazima kujifukiza kwa kujifunika na kitu k**a shuka au chochote kizito zito na utachukuwa kidogo sana kidonge kimoja kisha kisaka uchawi kwa kuinywa kwa uji asubuhi na jioni na unajifukiza siku x1 ndani siku 7 na ukiweza kupata vilivyo katika fushochafu ni vizuri ukachanganya na hiyo siku 14 kwa kila siku




Njo kwa mahalim salim upate tiba asili na ushauli

17/01/2016

jamani nauliza nyota na mbalambwezi uliokuwa mbali hip?

Address

Morogoro
15529

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba asili kutana na mahalim salim posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share