jengakismart Tz

jengakismart Tz 👉🏻construction company
👉🏻 for better service in construction matters to be a member of our

15/01/2026

Hakuna nyumba ndogo 🤗🤗💪💪💪

23/12/2025

🎄 HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA KUTOKA ROYAL BUILD ZONE & ROYAL FINISH PLASTER 🎉*

Tunapofunga pazia la mwaka huu, tunachukua fursa hii kuwashukuru wateja wetu wote – mliotuamini, mliotuunga mkono, na mnaotufuatilia. Asanteni sana! 🙏

Kwa wale ambao hawakufanikisha mipango yao ya ujenzi mwaka huu msikate tamaa! Mwaka mpya ni ukurasa mpya.
Na k**a unatafuta watu wa kuaminika kwa kazi zako za ujenzi, basi tunapatikana kwa ajili yako!

👷‍♂️ Royal Build Zone tunashughulika na:
- Ujenzi wa nyumba kuanzia msingi hadi finishing
- Kufunga gypsum board
- Kupiga rangi & kusikimu
- Ramani za kisasa & ushauri wa kitaalamu

🎯 Na tukishirikiana na Royal Finish Plaster tunahakikisha finishing ya kazi zako inakuwa ya kiwango cha juu smart, unique & elegant

Mwaka 2026 uwe ni wako wa kutimiza malengo. Usingoje hadi uwe tayari sana, aanza kidogo, anza sasa – nasi tupo kukushika mkono.

📞 Tupigie: 0717 689 916
📍 Royal Build Zone Kamilisha kuta zako na elegance

23/12/2025
17/10/2025

★ ROYAL BUILD ZONE ★
“Kamilisha kuta zako na Elegance”
📞 0717 689 916

TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:
✅ Ujenzi wa nyumba (kwa hatua) 
✅ Kusikimu & Kupaka rangi 
✅ Kupiga branding & Kufunga board 
✅ Kupiga bodi (formwork & slab casting) 
✅ Plasta ya kisasa (Royal Finish Plaster) 
✅ Kuweka tiles
✅ Matengenezo ya nyumba 
✅ Ushauri wa kitaalamu wa ujenzi 

TUCHAGUE LEO – UBORA, UAMINIFU NA MUONEKANO WA KISASA

07/06/2025

🕌🌙 EID MUBARAK kutoka Royal Finish Plaster 🎉

Tunawatakia Waislamu wote Sikukuu njema ya Eid al-Adha!

🌟 Mwenyezi Mungu akubali ibada zenu, awazidishie afya, amani na mafanikio.

Asante kwa kuendelea kutuamini kwa huduma bora za plasta na rangi.

Royal Finish Plaster – Kamilisha kuta zako na Elegance!

📍Tupo Mpanda, Katavi
📞 0753 601 997 | WhatsApp: 0717 689 916

Tunawatakieni  Eid mubaraka watanzania wote,,.
30/03/2025

Tunawatakieni Eid mubaraka watanzania wote,,.

Krismasi yako iwe ya barakha  na ang'avu kwako  wewe na familiya yako na muwe na likizo nzuri iliyojaa upendo na kicheko...
24/12/2024

Krismasi yako iwe ya barakha na ang'avu kwako wewe na familiya yako na muwe na likizo nzuri iliyojaa upendo na kicheko.

Address

Ilembo
Mpanda

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when jengakismart Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to jengakismart Tz:

Share