05/11/2023
Anatafutwa kwa kosa la wizi.
Mtuhumiwa Gladness william salema mwenye umri wa miaka 26 aliekua mkaz wa stakishari ukonga dar es salaam anatafutwa kwa kosa la wizi wa kuaminika.
Mtuhumiwa alikimbia na pesa tarehe 27/10/2023
Yoyote atakaefanikisha kupatikana kwake atapatiwa kias cha pesa laki mbili (200,000)
Mtuhumiwa ni Mwenyeji wa Rombo mjukuu wa Mama Tingisha wa LIMPALA BAR
Piga namba ifuatayo 0713700707