Yuaja Beekeeping Services

Call Directions Website Contact the business

Yuaja Beekeeping Services Tunauza Mizinga ya nyuki
Tunauza asali mbichi
Tunauza vumbi la nyuki. Tunauza vifaa vya ufugaji nyuki. (asali ya nyuki wakubwa na nyuki wadogo)

Tunatoa mafunzo ya ufugaji nyuki kibiashara
Tunatoa ushauri wa kitaalamu - ufugaji nyuki kibiashara.

13/09/2026
11/09/2026

11/09/2026

MZINGA KWA TSh 95,000 TU—NA DELIVERY BURE HADI SHAMBANI!

Unataka kuanza ufugaji nyuki kibiashara au kuongeza mizinga kwenye manzuki yako? Hii ni fursa yako.

YUAJA BEEKEEPING SERVICES tunakuletea punguzo la asilimia 15% kwenye bei ya mizinga. Sasa unapata mzinga kwa TSh 95,000 tu, pamoja na huduma zinazokusaidia kuanza kwa mpangilio sahihi:

✅ Usafirishaji bure hadi shambani.
✅ Wataalamu wa nyuki kuambatana na mizinga.
✅ Msaada wa kupanga manzuki na kutundika mizinga kwa ajili ya kuvutia makundi ya nyuki.

Kuanzisha biashara ya ufugaji nyuki kunahitaji zaidi ya kununua mzinga. Maarifa, mpangilio wa manzuki na uwekaji unaofaa ni sehemu muhimu ya maandalizi yako. YUAJA tunakusaidia kuchukua hatua hiyo.

⏳ OFA HII NI YA MWEZI MMOJA TU!

📞 Piga simu 0756 858 382 sasa. Tuambie eneo la shamba lako na idadi ya mizinga unayohitaji ili tuboreshe mradi kwa wa kibiashara zaidi.
📧 [email protected]
📍Tupo Singida mjini, na popote ulipo tunakufikia.

YUAJA BEEKEEPING SERVICES
Anza au panua ufugaji nyuki kibiashara leo.

11/09/2026

MZINGA KWA TSh 95,000 TU—NA DELIVERY BURE HADI SHAMBANI!

Unataka kuanza ufugaji nyuki kibiashara au kuongeza mizinga kwenye manzuki yako? Hii ni fursa yako.

YUAJA BEEKEEPING SERVICES tunakuletea punguzo la asilimia 15% kwenye bei ya mizinga. Sasa unapata mzinga kwa TSh 95,000 tu, pamoja na huduma zinazokusaidia kuanza kwa mpangilio sahihi:

✅ Usafirishaji bure hadi shambani.
✅ Wataalamu wa nyuki kuambatana na mizinga.
✅ Msaada wa kupanga manzuki na kutundika mizinga kwa ajili ya kuvutia makundi ya nyuki.

Kuanzisha biashara ya ufugaji nyuki kunahitaji zaidi ya kununua mzinga. Maarifa, mpangilio wa manzuki na uwekaji unaofaa ni sehemu muhimu ya maandalizi yako. YUAJA tunakusaidia kuchukua hatua hiyo.

⏳ OFA HII NI YA MWEZI MMOJA TU!

📞 Piga simu 0756 858 382 sasa. Tuambie eneo la shamba lako na idadi ya mizinga unayohitaji ili tupange kwa ajili ya mradi wako wa ufugajinyuki Kibiashara.

📧 [email protected]
📍 Tanzania nzima tunakufikia, tunapokea Singida Mjini.

YUAJA BEEKEEPING SERVICES
Anza au panua ufugaji nyuki kibiashara leo.

07/09/2026

Vumbi la nyuki.
0756 858 382

Tunauza Mizinga ya nyuki
Tunauza asali mbichi
Tunauza vumbi la nyuki.
Tunatoa mafunzo ya ufugaji nyuki kibiashara
Tunatoa ushauri wa kitaalamu - ufugaji nyuki kibiashara.
Tunauza vifaa vya ufugaji nyuki.
(asali ya nyuki wakubwa na nyuki wadogo)

07/09/2026

Yes we're hiring

07/09/2026

Yuaja is hiring

Address

Misuna
Singida
TZ43115

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255756858382

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yuaja Beekeeping Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Yuaja Beekeeping Services:

Share