Allgem Mining

Directions

Allgem Mining Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Allgem Mining, Mining Company, Kalalani, Tanga.

24/08/2026

Serious buyers only
0767298017(Madhu)
0779501407(Sampath)

09/08/2026

*SOKO BUBU LA MADINI LAGUNDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM*

▪️Watuhumiwa 14 wak**atwa na tuhuma za utoroshaji madini

▪️Waigeuza nyumba ya kupanga k**a soko

▪️Waziri Mavunde aelekeza uchunguzi kuwabaini na kuk**ata wahusika zaidi

▪️Mgeni mmoja kutoka nje ya nchi ahusishwa na utoroshaji

▪️Madini,fedha na vitendea kazi vyashilikiwa na serikali

Ikiwa ni sehemu ya usimamizi thabiti wa sekta na kuhakikisha Serikali inapata mapato yake ipasavyo kupitia mfumo rasmi wa masoko ya madini nchini, soko bubu la madini lagunduliwa jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde (Mb) ameyasema hayo leo tarehe 09 Agosti, 2026 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam na kubainisha kuwa zaidi ya watuhumiwa 14 wamek**atwa kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya utoroshaji wa madini na watafikishwa kwenye vyombo vya sheria hivi karibuni.

"Hawa wenzetu pamoja na Serikali kuwezesha masoko na vituo vya ununuzi vilivyosambaa Nchi nzima, wao wameona waje kupanga nyumba na kuigeuza soko la madini ambapo ni kinyume na Sheria.

Natoa rai kwa wenye nyumba wote kuhakikisha wanafahamu shughuli za msingi za wapangaji wao ili kutojiingiza kwenye matatizo haya.

Tutafanya ukaguzi maalum kwenye baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es salaam na mikoa mingine kubaini hizi nyumba zinazotumika k**a soko la madini na kuwa chanzo cha utoroshaji madini”Alisema Mavunde

Aidha, Waziri Mavunde amesema kwa taarifa za awali, raia mmoja wa kigeni anahusishwa na kitendo hicho cha kuwezesha utoroshaji wa madini nje ya mfumo rasmi na amedhibitiwa.

Vilevile, Mhe. Mavunde ameelekeza vyomba vya dola kufanya uchunguzi wa kina ili kuwabaini na kuwak**ata wahusika wote kwenye mnyororo huo wa vitendo vya utoroshaji wa madini.

Madini gram 174 yaliyokutwa katika soko hilo bubu pamoja na mashine mbili za XRF aina ya NITON DXL 800, Mizani ya kupimia uzito, Mitungi ya gas, vyungu vya kuchomea dhahabu, borax, pipeza gas, legis za kutengenezea umbo la dhahabu Pamoja na jumla ya pesa taslimu TZS. 54,705,000 vyote vinashikiliwa na serikali.

09/08/2026

Kazi kazi anasonga mbele

Maisha ya utafutaji sio Lele mama Mchimbaji madini akipambana kutafuta kesho yake iliyo njema Wacha apambane
09/08/2026

Maisha ya utafutaji sio Lele mama

Mchimbaji madini akipambana kutafuta kesho yake iliyo njema
Wacha apambane

25/11/2025

Ndani ya miamba. Ndipo kupatikanapo vitu vya thamani

25/11/2025
25/10/2025

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Muba Linto, Harunah Singano, Estomihi John, France Kimario, Ijahman Daniel, Quality Legacy

08/10/2025

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Frank Mbilinyi, Magoti Charles, Jujuman Lema, Carlos Geoffrey

Address

Kalalani
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Allgem Mining posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category