NewblockCity_tz

NewblockCity_tz Ramani na Ujenzi

Una kiwanja chenye Slope kali?Ni nini mpango wako?Kiwanja chako kinaweza kuwa na nyumba unayoifikiria. Kinachohitajika n...
30/08/2026

Una kiwanja chenye Slope kali?
Ni nini mpango wako?

Kiwanja chako kinaweza kuwa na nyumba unayoifikiria. Kinachohitajika ni mpango sahihi wa kuifikisha hapo.

Tucheki sasa kwa ramani, BOQ ya uhakika pamoja na ujenzi bora!
New block City / Ramani ujenzi wa kisasa / Building materials
📞0717682856 WhatsApp
📍Mbezi Louis

30/08/2026

Tukianza na Ramani, January 2026,
Kisha tukaandaa mchanganuo wa vifaa= Gharama za ujenzi.
Thenđźš§ Ujenzi ukaanza MIEZI 6 BAADAE

Hii ndiyo sababu hatupendi kukuonyesha Ramani pekee.
Tunataka uone matokeo ya kazi yetu kutoka kwenye karatasi mpaka site.

Tunakuonyesha mpango wa nyumba yako, makadirio ya vifaa na gharama, pamoja na uwezo wa kuifikisha kwenye ujenzi wenye ubora.

Tucheki sasa kwa ramani, BOQ ya uhakika pamoja na ujenzi bora!
New block City / Ramani ujenzi wa kisasa / Building materials
📞0717682856 WhatsApp
📍Mbezi Louis

Residential Building DesignKaribuNew block City / Ramani ujenzi wa kisasa / Building materials 📞0717682856
29/08/2026

Residential Building Design

Karibu
New block City / Ramani ujenzi wa kisasa / Building materials
📞0717682856

25/08/2026
24/08/2026

Started with proper preparations now we are on progress

Tucheki sasa kwa ramani, BOQ pamoja na ujenzi bora!
New block City / Ramani ujenzi wa kisasa / Building materials
📞0717682856 WhatsApp
📍Mbezi Louis

23/08/2026

Unaweza kuwa na pesa za kuanza ujenzi, lakini bado usiwe tayari kuanza.”

Kabla ya kupeleka fundi site, unatakiwa kujua:
• Nyumba itakaa vipi kwenye kiwanja?
• Itahitaji vifaa kiasi gani?
• Gharama zinakadiriwa kufika kiasi gani?
• Ujenzi utafuata hatua gani?
Ndiyo maana tunaanza na Ramani na BOQ, kabla ya kuingia kwenye ujenzi.

Address

Mbezi Luis
Dar Es Salaam

Telephone

+255717682856

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NewblockCity_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NewblockCity_tz:

Shortcuts

Share