Genius Solution

Genius Solution We Make It Happen

13/03/2026

Simu yako inaweza kurekodi sauti bila wewe kujua! 😳🎀

24/02/2026

Usinunue simu kabla hujasikia hii πŸ˜³πŸ“±
Watu wengi wanajuta baadae kwa sababu hawakupewa ukweli mapema.
Jifunze kwanza, ndipo ununue.





SimuBora
UkweliWaSimu
FYP
TikTokTanzania

20/02/2026

Simu yako ni nzito lakini haijaharibika.
Mara nyingi tatizo ni storage kujaa zaidi ya 80%.
Simu inapokosa nafasi ya kufanya kazi, apps zinafunguka polepole, camera inachelewa na mfumo unagoma.
Usikimbilie kuformat bila sababu.
Angalia storage kwanza.
Kwa ushauri zaidi fika Suley Smartphone umuone Mr Genius πŸ“±πŸ”₯





iPhoneTips
PhoneCare
TechTanzania
SimuOriginal
SmartphoneTips

Tumia Mauzo App kusimamia biashara yako kwa urahisiπŸ“Š Rekodi mauzo, fuatilia faida, na angalia stockπŸ”’ Data yako inabaki s...
24/01/2026

Tumia Mauzo App kusimamia biashara yako kwa urahisi
πŸ“Š Rekodi mauzo, fuatilia faida, na angalia stock
πŸ”’ Data yako inabaki salama
πŸ“± Rahisi kutumia na inafanya kazi hata bila internet
Jiunge leo uone tofauti!

21/12/2025

Kabla hujalaumu maisha, angalia kwanza unaeshare naye muda wako.

18/12/2025
04/11/2025

Address

Temeke, Dar Es Salaam
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Genius Solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Genius Solution:

Share