14/08/2019
Shetani hatakuzuia kuanza ila kumaliza. Atatumia nguvu zake zote kupambana na wewe mwishoni. Ibilisi huongeza majeshi yake pale anapoona unaenda kufikia hatima yako. Unapokaribia UPENYO ndipo matatizo hutokea, ndipo roho za upinzani zinapoinuka. Kadri unapokaribia mafanikio ufahamu adui naye huongeza nguvu ili kuyaharibu. Jumapili hii tarehe 18/8/2019 tutakuwa na maombi ya kuharibu ROHO YA KUMALIZIA VIBAYA. Wajulishe na watu wengine.