MMI Steel Mills Ltd

MMI Steel Mills Ltd MM INTEGRATED STEEL MILLS LTD is the leading manufacturer of cold rolling sheets, structural steel p

Jua kali, mvua kubwa, au mabadiliko ya hali ya hewa ya kila siku yote haya yanahitaji paa linaloweza kuhimili bila kupot...
08/06/2026

Jua kali, mvua kubwa, au mabadiliko ya hali ya hewa ya kila siku yote haya yanahitaji paa linaloweza kuhimili bila kupoteza ubora wake. Lugoba Vigae ya Kiboko ni suluhisho la kweli kwa mwenye nyumba anayejali kinga, uimara, na mwonekano wa kuvutia. Paa lako linabaki salama, nyumba yako inabaki ya kupendeza.

Muonekano wa nyumba unaweza kubadilika kabisa kwa uchaguzi sahihi wa paa. Mangalore ya Kiboko huleta sura ya kisasa, mwo...
04/06/2026

Muonekano wa nyumba unaweza kubadilika kabisa kwa uchaguzi sahihi wa paa. Mangalore ya Kiboko huleta sura ya kisasa, mwonekano wa kifahari, na ulinzi unaodumu kwa muda mrefu bila kupoteza mvuto wake. Ni suluhisho linalofaa kwa anayejenga nyumba yenye hadhi na anayetaka matokeo yanayoonekana wazi.

Paa si sehemu ya kufunika nyumba tu, ni sehemu ya hadhi yake. Ukiweka Kiboko Precoated Sheets unachagua muonekano wa kuv...
03/06/2026

Paa si sehemu ya kufunika nyumba tu, ni sehemu ya hadhi yake. Ukiweka Kiboko Precoated Sheets unachagua muonekano wa kuvutia, uimara wa kuaminika, na rangi inayobaki na mvuto wake kwa muda mrefu. Ni chaguo la watu wanaotaka nyumba yao ionekane vizuri leo na iendelee kupendeza hata miaka ijayo.

31/05/2026

Ukiamua kujenga kwa MMI Steel, unachagua nguvu, uthabiti, na uaminifu. Tunazalisha bidhaa za chuma imara zinazotumika kwenye ujenzi Pamoja na matumizi mbali mbali.

Kila nyumba yenye amani hujengwa na msingi wa ubora. Tunawatakia Eid yenye baraka na furaha tele. 🌙
26/05/2026

Kila nyumba yenye amani hujengwa na msingi wa ubora. Tunawatakia Eid yenye baraka na furaha tele. 🌙

22/05/2026

Uzio imara unaongeza usalama na kukamilisha mwonekano wa eneo lako. Chainlink ya MMI Steel imetengenezwa kwa viwango vya juu, ikikupa uimara na uhakika wa muda mrefu. Ni suluhisho kwa nyumba, mashamba na biashara.

Paa bora linaanza na maamuzi sahihi. Kiboko imeundwa kwa teknolojia ya kisasa ili kuhakikisha rangi inadumu, bati halish...
17/05/2026

Paa bora linaanza na maamuzi sahihi. Kiboko imeundwa kwa teknolojia ya kisasa ili kuhakikisha rangi inadumu, bati halishiki kutu kirahisi na nyumba yako inaendelea kuvutia kila siku.

13/05/2026

Ukiwekeza kwenye nondo imara za BS500 kutoka MMI STEEL, jua umechagua kitu ambacho ni kutegemewa, ni imara, zinategemewa, na zinaweka alama ya ubora kwenye kila mradi.

Kwenye uimara, Kiboko inabaki namba moja. Chagua ubora unaoonekana na kudumu. Si kila bati linaweza kushindana na Kiboko...
08/05/2026

Kwenye uimara, Kiboko inabaki namba moja. Chagua ubora unaoonekana na kudumu. Si kila bati linaweza kushindana na Kiboko. Uimara wake huonekana tangu siku ya kwanza.

Ukiweka Kiboko, umeweka amani ya moyo. Mabati yenye ubora, mwonekano wa kisasa na waranti ya rangi hadi miaka 5. Paa bor...
04/05/2026

Ukiweka Kiboko, umeweka amani ya moyo. Mabati yenye ubora, mwonekano wa kisasa na waranti ya rangi hadi miaka 5. Paa bora si gharama, ni uwekezaji. Chagua Kiboko kwa uimara wa muda mrefu.

Address

Soldering Road, Mikocheni Industrial Area
Dar Es Salaam
3030

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MMI Steel Mills Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MMI Steel Mills Ltd:

Share