03/09/2026
Yaliyojiri kutoka katika Usiku wa tuzo za Rasi za Wazalishaji Bora wa Mwaka (PMAYA) .
Bakhresa Group kupitia makampuni yake ya Bakhresa Food Products Limited na Said Salim Bakhresa & Co. Ltd imefanikiwa kushinda tuzo mbalimbali za Tuzo za Rais za Mzalishaji Bora wa Mwaka (PMAYA).