13/11/2026
🥜 STEPS PEANUT SHELLER MACHINE - 🥜
Mashine ya Kubangua Karanga Haraka - Bila Kuchoka!
SIFA KAMILI:
🔹 Motor: 1.5KW - Umeme mdogo sana!
🔹 Uwezo: 300 KG KWA SAA!
🔹 Uzito: 30KG - Nyepesi, inahamishika kirahisi
🔹 Ukubwa: 600_650_1000mm - Ndogo, inatoshea kila mahali
🔹 Brand: STEPS
INAFANYA NINI?
Unaweka karanga na ganda lake juu, mashine inabangua yenyewe, inatenganisha karanga safi na maganda pembeni!
KWA NINI UNUNUE HII?
☑️ Kazi ya watu 10 inafanywa na mashine 1 kwa saa 1!
☑️ Karanga hazivunjiki - Zinabaki nzima, safi!
☑️ Okoa Muda na Pesa za Vibaru - Hakuna kubangua kwa mikono tena!
☑️ Fanya Biashara - Bangua za watu, lipwa pesa!
Tunapatikana Kariakoo Dar es salaam barabara ya msimbazi tunaangaliana na kituo kipya cha Mwendokasi cha Mbagala karibu na daraja ya reli ya umeme…
0767 554 908