GSM Beverage

Call Directions

GSM Beverage Watengenezaji na wauzaji wa Magodoro, Duvets,Na Mito bora kutoka hapa haapa tanzania

31/10/2026

Jimama la POP limeingia mtaani kusambaza tabasamu na vibe la kudumu🤩💦

Limewaka tunaanika hatupaachi mpaka pameiva🔥
Bei kitonga, vibe uhakika, Kigamboni kumenoga🥳

30/10/2026

Kigamboni limewaka tumeanika kila kona🤩💦

Hatupoi hatuboi na tunaendelea mpaka lizime🔥🔥🔥

30/10/2026

DSM KUMEKUCHA!

Limewaka Tunaanika☀️🤩🧊

29/10/2026

Mtaa kwa Mtaa kukusambazia Ladha zenye kuleta burudani🎉🥳🤩

DSM Kumekucha, kila Ijumaa linapowaka, sisi tunaanika mtaa kwa mtaa. Bei kitonga biashara zinanoga. Kaa karibu furahia vibe linalokuja na GSM Beverages Tanzania 🔥🥳

26/10/2026

Watu wetu kwani ni kinywaji gani mnapendelea zaidi kutoka kwetu GSM Beverages Tanzania ? 🤩

Tupia comment tuburudishe siku yako🔥🔥🔥

24/10/2026

DSM KUMEKUCHA KIBAHA KUMENOGA🤩

Good and nice ndio kitu tunachokisambaza kwenu. Vibe kamili kutoka GSM Beverages Tanzania na hatuishii hapa, tunazidi kunogesha🔥🔥🔥

23/10/2026

HIYO LEO HIYOOOO🤩
Kibahaaaa mmetisha🔥🔥🔥

Limewaka na Tumeanika
Kibaha pamenoga sasa na ladha zenye vibe k**a lote🥳
Tunaendelea mpaka kielewekeeeee🔥🔥🔥

16/10/2026

Limewaka tumeanika KKOO mmetisha🤩🥳

Tunazidi kusambaza tabasamu na vibe kutoka ladha za kipekee zenye asili ya nyumbani za GSM Beverages Tanzania 🔥🔥

DSM KUMEKUCHA

12/10/2026

Likiwaka sisiTunaanika🤩🤩🤩

Chanika mmetisha🔥
Sisi tunapenda kuona mkitabasamu na kufurahia ladha zenye vibe kamili🤩🥳

Hivyo basi linapowaka tutazidi kuanika, DSM KUMEKUCHAAAA🔥🔥🔥

10/10/2026

🥳🔥🎉
Mshindi wetu wa kisia ushinde ya Design Home Creative Agency amefikiwa na zawadi kutoka GSM Beverages Tanzania 🤩

Endelea kujumuika nasi na kukisia wiki hii inaweza kuwa wewe🔥🔥🔥

Address

Mikocheni Cocacola Road
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255745000000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GSM Beverage posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share